Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Tutatoana jasho kwanza kura za maoni na ningeomba ziwe huru na za haki!

Najivunia sana nguvu kubwa niliyo nayo kutoka kata za Ipinda,sehemu ambayo nina nguvu mno kisiasa!

Uchaguzi wetu wa kura za maoni chini ya Mzee Kasyupa ukiwa huru na wa haki,nitashinda

Tukutane kura za maoni kaka!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Chama gani Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jimbo la Sumve, Kuna mbunge toka 1995yupp tu anasema hajazaliwa bado mtu wa kumtoa, nafikiri Ni muda muafaka wa kumtoa akalime pamba.
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547] ni rahisi kumtoa kwasababu zozote atakuwa hakubaliki kiasi hichooo ila mikakati yako ndo muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilaya ya Kyela hakuna namna mzee Mwakyembe inabidi atuachie vijana wenye uchungu na Kyela yetu, japo mi ni kijana mdogo sana ila kama Chama kitaniamini na uchaguzi wa Kura za maoni ukawa wa huru na Haki basi tutatoshana kwenye kura za maoni Vijana wenzangu wa Bujonde,Busale, Ibanda na Kyela mjini nakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutatoana jasho kwanza kura za maoni na ningeomba ziwe huru na za haki!

Najivunia sana nguvu kubwa niliyo nayo kutoka kata za Ipinda,sehemu ambayo nina nguvu mno kisiasa!

Uchaguzi wetu wa kura za maoni chini ya Mzee Kasyupa ukiwa huru na wa haki,nitashinda

Tukutane kura za maoni kaka!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ipinda ,nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najitoa Chato via CHADEMA vipi napata ? au mwenye ushauri mazee
 
Back
Top Bottom