Uchaguzi 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

Mambo hayakwenda kama nilivyotarajia ila nilitaka kwenda nyumbani Arusha katika moja wapo ya majimbo.

Kwahiyo nitabaki tu kama mpiga kura katika jimbo la kinondoni hapa DSM.
 
Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....

Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025

Naomba kama naweza kupata ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitagombea la Dodoma mjini kupitia mgoombea binafsi ikipishwa nasubili kama serikali itasikia kilio chetu tusio na vyama kupeleka mabadiliko ya sheria bungeni ili tuoneshane makali
 
Chama cha majambazi kisije hapa, wao wasubirie matokeo mezani...uwezo wa hoja hawana
 
Msiparuzane lakini
Natafakari kugombea na kumng'oa Mwakyembe Kyela ( iwapo chama kitaona nafaa )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…