Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Hata mimi pia mkuu. Nilipitia hio experience. Bahati nzuri baada ya kupoteza kila kitu nilikuja pata nafasi nyingine na kupata hela nzuri zaidi sasa kwa kutumia mafunzo niliyojifunza hapo mwanzo sikurudia kosa tena nikaweka mambo sawa. Tatizo ni kwamba kwa bahati mbaya mtu mwingine akishafilisika hapati nafasi tena kama ya mwanzo. Kwa hio ameshajifunza somo lakini opportunity unakuta hairudi tena.

Kwa 35 uko sawa kabisa. Afadhali umeshapitia hio, na utapata mahela mengi sana na sasa utajua cha kufanya bila kukosea.
 
Ni kweli mkuu.
Nilishaset target yangu ikatiki sema tu hii corona ndio imechafua kidogo hesabu zangu.
Mbaya ni ile unakuta mtu anabahatisha pesa akiwa na miaka 50 sasa akichezea akafirisika ni ngumu sana kuzipata zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😁😂
 
hata wewe unamatatizo ya kuchanganya "l" na "r"
uajiliwe ndo nini??
lugha sahihi ni uajiriwe.
Mzee elimu yangu ni darasa la 4 sasa iweje mtu anasema amefika chuo kikuu anaandika kama mimi wa darasa la nne?
 
[emoji444] Bina bina binadamuuuu......Binadamu hawana shukran, Shukran shukran shukran......wajelajela original [emoji445]

Wajelajela walimwimba huyu Mzee baada ya Mzee kuwatumikisha kwenye ukumbi wake bila kuwalipa pesa zao,alikuwa na roho mbaya huyu Mzee...hakuwa na utu.
 
Uzi mzuri..nimefurahi kusoma Bata za wazee wetu.😊
 
Na badae wakarudi bongo baada ya kutoka Nairobi,wakaitwa fm musica pale langata soçial hall l ikapigwa khadijha.
Nikamjua Gisselle toka hiyo bendi,nilichomsaidia na nilivyomuacha mungu anajua.
Ila wote hawa king dodoo,Nyoshi el sadaat walikua kundi zima wanakula pale kwa Gisselle kila siku.
Nilimtema huyo Gisselle alilia siku mbili getini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…