Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi, hawana nia njema na Taifa letu

Mimi nilisoma Political Science achana na Civics,ila hakuna uhuru usio na mipaka.Aliyekuambia kuna 100% freedom of speech kakudanya.Hata hao waliokudanganya kwamba kuna kitu kinaitwa freedom of speech kwao hakuna.
Halafu msiwe mnapenda kutuchanganya. Mbona baadhi ya hizo taarifa huwa mnazitoa wenyewe? Kwa nini mna akili kama za kenge?

Kifo cha Katibu mkuu kiongozi kilitolewa taarifa na nani? Yule Mbunge wa Mhambwe ni nani aliyetoa taarifa? Yule mbunge wenu wa viti maalum Martha Umbura kifo chake kilitangazwa na nani?

Na kwa nini wakitangaza wengine mnapagawa? Mbona mnajiona mna haki ya kila kitu nyinyi viumbe mnaokera kupitiliza? Unafahamu maana halisi ya neno Uhujumu uchumi wewe kweli?
 
Kifo hakitangazwi,kinajitangaza.
Kwa njia ya Infra-red au electromagnetic waves ?

Fahamu kwamba nyakati zimebadilika mitandao ya kijamii ndio imekuwa communication medium ambayo enzi hizo habari zingepatikana through redio, simu na word of mouth (sasa hivi ni information at your fingertips)
 
Wewe fala kwani wao ndio wanawaua hao watu mashuhuri?
Wengine ni akili zenu mnawaachiaga kina nani wawatunzie?
Dili na kinachowauwa hawa wanaotangaza wataacha tu. Pumbavu
 
Sio ubinadamu kushabikia kifo,ni Shetani tu anayefurahi binadamu wakifa,tena dhambini.
Ukiongelea Shetani basi hapo unaongelea Imani..., kwa logic yako kifo kingekuwa ni kibaya hakitakiwi na shetani pekee ndio mnufaika si Mungu angekizuia ?
Au?
 
Zipo taarifa njema zenye nia njema,na zipo taarifa zenye nia ovu.Si kila mtu ana mamlaka ya kutoa taarifa ya kifo,kwanza kwa nini.Kama ni kiongozi wa juu serikali itatoa taarifa kwa wananchi,otherwise ni fujo yenye nia ya ku-create hofu na taharuki,it is uncalled for.
 
Ukiongelea Shetani / Imani basi hapo unamuongelea Mungu..., kwa logic yako kifo kingekuwa ni kibaya hakitakiwi na shetani pekee ndio mnufaika si Mungu angekizuia ?
Au?
Unahitaji elimu ya kina,next time.
 
Wewe fala kwani wao ndio wanawaua hao watu mashuhuri?
Wengine ni akili zenu mnawaachiaga kina nani wawatunzie?
Dili na kinachowauwa hawa wanaotangaza wataacha tu. Pumbavu
Wote tunakwenda huko kama sio leo ni kesho,kwa hiyo hakuna sababu ya kufurahia mwenzio akifa.
 
Nijiandae nini,kama unategemea nife sifi.Mabwana zenu akina Biden watatangulia wao,si unaona tayari ana Dimentia.
Speaker yangu mbovu. Naichezea shilingi yangu kwenye tundu la choo. Muda utaongea hata kama hamtaki tuseme.
 
Kwahiyo anayepaswa kushitakiwa ni shetani ambaye kazi yake kuu ni kuua, kuiba na kuharibu au wewe usiyejua unachokitaka?
Je, kifo kaleta shetani au Mungu?
Kama kimeletwa na Mungu, je , Mungu ana chembe za ushetani?
Kama kimeletwa na shetani, je, Mungu alikuwa weak mpaka shetani analeta kifo?
 
Information at your fingertips,so tutumie mtandao vibaya,
tu-create fear and mayhem kwenye jamii kwa kuwa mtandao upo.Lakini unatangaza hivyo vifo ili iweje hasa,kama sio kwa nia ovu ni nini.
 
Ameeen
 
Information at your fingertips,so tutumie mtandao vibaya to create fear and mayhem kwa kuwa mtandao upo.Unatangaza ili iweje hasa,kama sio kwa nia ovu.
Unasoma ili iweje? Nadhani una choice ? Kupangia watu cha kufanya ni definition fupi ya Dictatorship...
 
Sasa cha ajabu kipi? Corona ipo na inaua watu wengi sana, wakiwemo hao mashuhuri. Khaaaah
 
Hivi Tanzania iwe kwenye vita ya Uchumi na Nani kweri? Aachen ufala
 
Sasa cha ajabu kipi? Corona ipo na inaua watu wengi sana, wakiwemo hao mashuhuri. Khaaaah
Nipe scientific proof kwamba Corona ipo.Tatizo ni kwamba mnaamini udaku.
 
Wote tunakwenda huko kama sio leo ni kesho,kwa hiyo hakuna sababu ya kufurahia mwenzio akifa.
Huna lolote wewe . Corona ipo na inakula vichwa ipendavyo. Mlipoombwa kudhibiti uingiaji holela wa watu mlikataa, na mkatoa mialiko mingi na matangazo kibao . Matokeo yake Covid imepiga kambi. Acha tuone matunda ya kwenda kinyume na science.

Pili Corona na vifo havijaanzia Tz , hivyo hatuna sababu kuvionea aibu labda ushamba wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…