Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi, hawana nia njema na Taifa letu

Hujaweka namba ya simu
Najua why you would like to know my phone number,muulize Mod.Kama usipoipata, naomba urudie kusoma mada yangu vizuri,msilete distortion ambazo ni uncalled for.Nime-address nia ya matangazo sio matangazo,come back to your senses folks.Unapotangaza kitu kwa nia ovu ya kufurahia,kuleta hofu na mtafaruku kwenye jamii ni sahihi?Ni mjinga tu anayeweza kuamini kwamba hiyo ni sahihi.
 
Tell me what is none sense here.
👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi,hawana nia njema na Taifa letu.​

 
Wewe unafahamu vipi nia za watu wanaotoa taarifa?
Kama huna mamlaka ya kutoa taarifa hiyo na haikuhusu,why should you provide the information.Unapofanya jambo ni lazima ipo sababu ya kulifanya,na katika hili,it is obvious the intent is evil:fearmongering,to destroy our countrie's international reputation and to bring mayhem to the population.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe, tumechereweshwa sana.
 
👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇

Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi,hawana nia njema na Taifa letu.​

This is not none sense,ni sawa kabisa.Matangazo haya yana athari zifuatazo:
1.Yataharibu biashara ya Tanzania na nchi za nje kwa kuwa watu wataamini kwamba hali ya Corona nchini ni mbaya.
2.Yataharibu reputation yetu kama nchi to other countries,na hivyo kuharibu biashara yetu na nchi za nje pia.

Let me be frank,ni mtu asiyeipenda nchi yake tu na anayetumiwa na nchi zingine kwa nia ovu anayeweza kufanya ujinga huu.
 
Maelezo mengi mno, tanzania kuna koroa au hakuna? Pili hayo matangazo ya vifo media nyingine hutangazi bila kulipia sasa hapa ni bure kwanini usishukuru? Alifariki maalim seif serikali ya znz kupitia kwa raisi wake walitangaza kwanini hukuwalalamikia wale kwa kutangaza? Alifariki marehemu J Kijazi mzee baba alitangaza kwanini hawakufanya siri kama utakavyo?
Naona kwako na wengi elimu ndio shida.Endeleeni kulishwa matango mwitu na Wazungu.
Soma kwa makini ulichoandika
 
🙏 🙏 🙏 🙏
 
Utakosa uteuzi
 
Upo sawa.
 
Uzi unazidi kuchangamka kwa mikinzano ya fikra, ufahamu, hofu ya kuwepo mabeberu-ruhani na imani potofu n.k.

Hii ndiyo JamiiForums, mijadala mizito inaruhusiwa.
 
Badala ya kujipanga kupunguza vifo, wanajipanga kuzuia habari za vifo.

Hata watu wasiposema, kama watu wanakufa kwa mafungu kutokana na ugonjwa, watakufa tu.

Waswahili walisema mficha maradhi, mauti humfichua.
 
Nimekuambia nipe scientific proof.Nitaaminije kitu cha kufikirika kisicho na scientific proof.I will be a fool then,niamini udaku?No way,I am not a loon.
So aliyekuwa anawatangaza Ummy Mwalimu walikuwa wanaumwa nini? Vipi kuhusu meko alisema mwanae anaumwa nini kipindi kile? na hao waliokuwa wanawatangaza waliwapimaje?
 
Wewe ni mzungu?Dah,this is slavery at it's best.Sijawahi kuona mtu anayewapenda watesi wake,hii inawezekana tu if you have sold your soul to them.
huo utumwa hauwezi ondoka kwa akili/mawazo haya ya viongozi wetu ya kujiona ukiwa kiongozi wewe ndio una akili kuliko mtu mwingine kwenye taifa lako, ukisemacho ndio hicho!!miaka 60 toka hao slave master, wameondoka na kutukabidhi bara letu kuna kitu gani cha maana kimefanyika?kama hadi leo tu mwananchi ana pewa ahadi ya maji safi salama?kwani ni shida?!!karne hii una kuja na mambo ya kufikirika eti NYUNGU, yaani virus auawe na nyungu?!!!na hilo togwa toka NIMR?!!eti chanjo hizo ni za kupunguza waafrika?!!wakati madawa yote na chanjo miaka yote wao ndio wanakupa?"If u cant fight them, join them"
 
Soma mada yangu vizuri,usilete distortion za kijinga.Nime-address nia ya matangazo sio matangazo,come back to your senses.Unapotangaza kitu kwa nia ovu ya kufurahia,kuleta hofu na mtafaruku kwenye jamii ni sahihi?Acha ujinga.
Ila yule RC, makonda alipotangaza hadharani kuwa mtoto wa mbowe anaumwa covid19, alikuwa na nia nzuri wakati ule CDM, Wanaandaa maandamano?!!kama maalim seif, alitangazwa na chama chake, lakini serikali ya mapinduzi ilikuwa haitaki kabisa kusema kuwa ni kweli anaumwa COVID19!!huwezi tatua tatizo kwa kujidanganya kuwa halipo
 

Kweliiiiii!!!
😀😀
 
Na huu ndio ukweli wenyewe, tumechereweshwa sana.
Sina haja ya kukupa takwimu zipo kila mahali.America ndio ya kwanza kwa sasa,kwa reported statistics on the "scandemic."
Kosa litabaki kuwa kosa hata kama kafanya na ni.Halafu naomba nirudie nilicho address ni matangazo yenye nia ovu.
Tokea lini matangazo ya vifo yakawa ni makosa...
Unatangaza kwa nia gani ndio kosa.Hivi uko low kiasi kwamba unashindwa kuelewa bandiko langu,au unafanya distortion makusudi kwa faida ya mabwana zako?Mtatuniwa mpaka lini.Mnakera sana.
 

Areafiftyone,
Sasa Baraza la Maaskofu Tanzania TEC nao wameamua kuweka takwimu na kuzitangaza kwa umma mpana, hongera sana TEC hiyo itatusaidia kujiuluza kwanini idadi hiyo kubwa ya vifo na kujaribu kutaka kujua chanzo na tahadhari gani ichukuliwe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…