Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 22, 2021 #121 mgt software said: Wewe ni mpenda nini? Una mini? Click to expand... Huwa hamuoni aibu kupenda sifa bila sababu za msingi na ujuaji
mgt software said: Wewe ni mpenda nini? Una mini? Click to expand... Huwa hamuoni aibu kupenda sifa bila sababu za msingi na ujuaji
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 880 Jan 28, 2022 #122 Bukoba kubaya yaani mijengo ya kizamani ukifika bukoba mjini m Utasema upo kijijini bado yaani sifa za wahaya na bukoba ilivyo haviendan mgt software said: Maendeleo papi?, dhubutu, watu kwa sasa wana mijengo hatari sema serikali haitaki kujenga miundo mbinu uone bukobaunavyokimbiz hatari Click to expand...
Bukoba kubaya yaani mijengo ya kizamani ukifika bukoba mjini m Utasema upo kijijini bado yaani sifa za wahaya na bukoba ilivyo haviendan mgt software said: Maendeleo papi?, dhubutu, watu kwa sasa wana mijengo hatari sema serikali haitaki kujenga miundo mbinu uone bukobaunavyokimbiz hatari Click to expand...
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 880 Jan 28, 2022 #123 Bukoba kubaya tusidanganyane mgt software said: Tatizo mkiongelea maendeleo ya bukoba mnakimbilia kwenye ngono, njoo na takwimu za maendeleo. Kwani wanaoleta maendeleo ni wanaume au wakina mama, au hata wakina baba anauza? Click to expand...
Bukoba kubaya tusidanganyane mgt software said: Tatizo mkiongelea maendeleo ya bukoba mnakimbilia kwenye ngono, njoo na takwimu za maendeleo. Kwani wanaoleta maendeleo ni wanaume au wakina mama, au hata wakina baba anauza? Click to expand...
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,778 Reaction score 7,145 Jan 28, 2022 Thread starter #124 pettymarcel said: Bukoba kubaya yaani mijengo ya kizamani ukifika bukoba mjini m Utasema upo kijijini bado yaani sifa za wahaya na bukoba ilivyo haviendan Click to expand... Utakuwa mjinga si bure
pettymarcel said: Bukoba kubaya yaani mijengo ya kizamani ukifika bukoba mjini m Utasema upo kijijini bado yaani sifa za wahaya na bukoba ilivyo haviendan Click to expand... Utakuwa mjinga si bure