Wanaotesa mpaka kuua, huwa wanavuta bangi kwanza au wanaua kavukavu bila kupata chochote cha kuwaondolea ubinadamu na eneo huwa ni sound proof?

Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.

Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo binadamu mwenzako mpaka anakata roho ukiwa na macho makavu na akili tu ya kawaida?

Hata kama umevaa kininja, bila kitu kinachoweza kukuondolea ubinadamu kama bang, n.k, unaweza kuhimili huo ukatili mpaka mtu anakata roho?

Halafu hii shughuli wanaifanyia maporini hata mtu akipiga kelele watu hawasikii au wanaifanyia kwenye vyumba maalumu ambayo ni sound proof au wanawaziba midomo?

Hakika huu ni ushetani wa kiwango cha juu sana na sidhani kama wanaobariki na wanaotekeleza huu unyama watabaki salama hapa duniani.

Na kama baraka zinatoka kwa watawala, wanaweza vipi kushindwa kusaini watu wanyongwe ila wakaridhia uuaji wa aina hii?

Na ikitokea inavuja video ya mateso mpaka mtu anakufa, bado kuna watu watatetea hao wauaji na wanaobariki haya mauji?

Mwisho, kama tu binadamu wengine wanaona tabu kutazama maiti, hawa wauaji wanaweza vipi kutoboa macho maiti tena ya mtu waliomua wao wenyewe?

Hakika baadhi ya sisi binadamu ni mashetani wenye umbo la kibinadamu.

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

I can't imagine!!!
Katika simuliza za Sativa anasema kutoka Dar es Salaam mpaka Arusha "escort" yake ya watu watatu na mmoja Rasta walikuwa wanavuta bangi na kunywa pombe za kushushia kitimoto na ndizi huku wakimtesa sana
 
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.

Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo binadamu mwenzako mpaka anakata roho ukiwa na macho makavu na akili tu ya kawaida?

Hata kama umevaa kininja, bila kitu kinachoweza kukuondolea ubinadamu kama bang, n.k, unaweza kuhimili huo ukatili mpaka mtu anakata roho?

Halafu hii shughuli wanaifanyia maporini hata mtu akipiga kelele watu hawasikii au wanaifanyia kwenye vyumba maalumu ambayo ni sound proof au wanawaziba midomo?

Hakika huu ni ushetani wa kiwango cha juu sana na sidhani kama wanaobariki na wanaotekeleza huu unyama watabaki salama hapa duniani.

Na kama baraka zinatoka kwa watawala, wanaweza vipi kushindwa kusaini watu wanyongwe ila wakaridhia uuaji wa aina hii?

Na ikitokea inavuja video ya mateso mpaka mtu anakufa, bado kuna watu watatetea hao wauaji na wanaobariki haya mauji?

Mwisho, kama tu binadamu wengine wanaona tabu kutazama maiti, hawa wauaji wanaweza vipi kutoboa macho maiti tena ya mtu waliomua wao wenyewe?

Hakika baadhi ya sisi binadamu ni mashetani wenye umbo la kibinadamu.

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

I can't imagine!!!
Hao Watu uhai wa Watu wengine wanaona Kama takataka tu, uhai wanachukulia kwamba siyo kitu chochote kile Cha maana kwao. Wanafundishwa ukatili au ushetani uliopitiliza. Mathalani, nchini Urusi nje kidogo ya Jiji la Moscow, Watu Wauaji Majasusi wa KGB/FSB wana Chuo chao maalumu Cha kuwafunza 'Watu wao' mbinu za kuweza Kuwafanyia Ukatili Watu wengine, Wanafunzi wanafundishwa mbinu za kuua Watu sambamba na kuwadhuru Watu wengine kwa namna mbalimbali, Kama vile kuwawekea Watu sumu ili kuwaangamiza. Yaani ni hatari tupu. Chuo chao hicho kinaitwa The Red Banners Institute, and the worse enough hata baadhi ya Watu kutoka kwenye hizi taasisi za hapa Tanzania ambazo zinaitwa kuwa ni 'taasis au mamlaka za za usalama' Mara nyingi Watu wao huwa wakipelekwa huko Urusi ili kupata Mafunzo yao kwa kazi zao.
Hii ni mbaya sana kwa kweli.
 
Ushawahi walau pata video hata za pale Congo, wanapokua wamemkamata muasi wa M23, Sasa wanamuhoji na baada ya kumuhoji kinachofata?. Huwa wanawachinja ,Tena hapo wamemuonea huruma, pengine wanaweza ananza kumkatakata kiungo kimoja baada ya kingine akiwa hai.

Hapa Suala la Msingi ni kupiga vita haya mauaji ya kishenzi yanayoendelea Nchini kwetu.
 
Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani.

Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo binadamu mwenzako mpaka anakata roho ukiwa na macho makavu na akili tu ya kawaida?

Hata kama umevaa kininja, bila kitu kinachoweza kukuondolea ubinadamu kama bang, n.k, unaweza kuhimili huo ukatili mpaka mtu anakata roho?

Halafu hii shughuli wanaifanyia maporini hata mtu akipiga kelele watu hawasikii au wanaifanyia kwenye vyumba maalumu ambayo ni sound proof au wanawaziba midomo?

Hakika huu ni ushetani wa kiwango cha juu sana na sidhani kama wanaobariki na wanaotekeleza huu unyama watabaki salama hapa duniani.

Na kama baraka zinatoka kwa watawala, wanaweza vipi kushindwa kusaini watu wanyongwe ila wakaridhia uuaji wa aina hii?

Na ikitokea inavuja video ya mateso mpaka mtu anakufa, bado kuna watu watatetea hao wauaji na wanaobariki haya mauji?

Mwisho, kama tu binadamu wengine wanaona tabu kutazama maiti, hawa wauaji wanaweza vipi kutoboa macho maiti tena ya mtu waliomua wao wenyewe?

Hakika baadhi ya sisi binadamu ni mashetani wenye umbo la kibinadamu.

Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

I can't imagine!!!
Binafsi nashanga sana inakuwaje hawa jamaa
 
Kwani hujaona hata humu jf wapo watu wanatetea huo uhalifu ??!
Binadamu tunatofautiana Ubinadamu wetu !
 
Jamaa wana roho mbaya wamepitia mafunzo maalumu
 
Tukimkamata mmoja tunapaswa kumbana atujibu hayo maswali.Trained to kill.Certified killers.Licensed to kill and other stories.
 
Wauwaji nao huwa wanapewa pesa nyingi pengine zaidi ya zile wanazopata chawa, na pia wanapandishwa vyeo nk.
 
Hivi kukodi Mossad au Wagner's group, Isis nk ni Bei gani?
Ningekuwa mm ndiyo Chairman, inakuwa jino Kwa jino, ili kuheshimiana,
Ili maumivu wote kuyapata.
Kabla hujafika huko walipo ku negotiate lazma utakuwa ushatiwa nyavuni na kutobolewa macho
 
Hizo huwaga ni Askari wanaenda kozi maalumu kwa ajili ya mambo hayo..mfano kuna ndugu yangu mmoja ni Askari magereza..akaona kikosini kwao kuwa kuna kozi maalumu itatolewa kwenye chuo flani haikutajwa wazi,yeyote ambae angekua tayari apeleke barua kwa mkuu wa gereza husika..dogo si akajua itakua ni kozi ile ya kikosi cha kutuliza ghasia magerezani akajipeleka kwa mkuu wa gereza,baadae akaja kugundua ilikua kozi ya kwenda kusomea namna ya kunyonga wafungwa wanaokua wamehukumiwq kunyongwa gerezani,dogo akaachana nayo ingawa anasema kuna wadau kibao tu walienda na kuhitimu.
 
Kuna watu wana roho mbaya tu by default!,
Niliwahi kuvamiwa na majambazi jamaa alikuwa anashusha panga kichwani kama anakata nyama kwenye gogo la buchani, damu zinamrukia na bado ananiamuru nitoe pesa,
nilikuwa tu na bahati ya kuendelea kuishi
Akitoka hapo unamkuta Bar kachafua meza hatari😄😄😄
 
Hao watu waheshimiwe tu..ukitaka kujua kazi yao ni ngumu basi siku upate chance ya kushuhudia vile binadamu anafanyiwa postmortem..asee unaweza sema hawa ni binadamu au viumbe gani?
Postmortem haitishi kama kushuhudia mtu akipoteza uhai, struggle ya kupoteza uhai hata kwa mgonjwa aliye mahututi huwa ni kubwa,.
Watekaji wanamchukua mtu timamu kabisa yupo fiti ki afya na kumsulibu na kuhakikisha wanashuhudia akikata roho.
 
Back
Top Bottom