Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.
Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wake zao.