Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.

Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.

Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wakezao.
Tumekusamehe na usirudie tena
 
Changamoto yangu nikishaanza kulewa ninamuita tena hukohuko baa wakati asubuhi alinikera.
 
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.

Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika.

Naomba msamaha kwa Jamhuri ya Taifa la wanaume wote Tanzania na Duniani. Kipindi cha nyuma nilifikiri ni aina ya watu wasiojali familia zao na wasiotaka ukaribu na wakezao.
Msamaha umepokelewa endelea kuutafuta ukweli na uzoefu huku ukijifunza.

Kwenye maisha ya ndoa ni watu 2 tu kati ya 100 wanaoweza kukwambia wanaishi kwa amani

Hata hawa kataa ndoa kama ushawakwaza kwa namna moja au nyingine watumie chochote kama ishara ya kuungama.
 
Niliishi na mwanamke tukiwa na mtoto mdogo tena wa kike, basi ikawa siendi kazini nipo nipo tu nyumbani naachiwa mtoto..... mara mtoto anapupu inabidi kumbadili nguo.

Ikafika time likawa kumbe jukumu langu halali, siku moja kajikojolea mimi nipo JF tu naperuzi..... kuna kauli ya mam'ake aliitoa kuonesha kuwa ni kosa langu sikuwa makini na mtoto.

Dadadeekii tangu siku hiyo nilishaacha kugusa watoto katika hali yoyote.
 
Bond inakua kubwa zaidi between people pale ambapo hawaonani kwa muda mrefu.
Mimi naondoka saa kumi na moja narudi saa sita kasoro.
Nkifika mda huo mwenzangu alishalala usingizi ukapungua, ataamka, tutapiga stori mbili tatu, ntazima hadi next day.
Lakini at leasy once per week nawahi au nabaki kabisa ili kumpa muda pia wa kuenjoy nae.
Nmenotice hata mwanangu yuko karibu zaidi na mimi kuliko mama yake. Nlivoulizia wakongwe wakasema lazma iwe hvo coz anakua kakumiss kuliko mama yake alienae daily.
 
Back
Top Bottom