Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
- Thread starter
- #61
Umesema vyema , mkinusana kila dakika inasababisha mnachokanaBond inakua kubwa zaidi between people pale ambapo hawaonani kwa muda mrefu.
Mimi naondoka saa kumi na moja narudi saa sita kasoro.
Nkifika mda huo mwenzangu alishalala usingizi ukapungua, ataamka, tutapiga stori mbili tatu, ntazima hadi next day.
Lakini at leasy once per week nawahi au nabaki kabisa ili kumpa muda pia wa kuenjoy nae.
Nmenotice hata mwanangu yuko karibu zaidi na mimi kuliko mama yake. Nlivoulizia wakongwe wakasema lazma iwe hvo coz anakua kakumiss kuliko mama yake alienae daily.