Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

Reptilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
867
Reaction score
847
Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu.

Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.

Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale Mwanza Shinyanga guest yule Mzee alivoungua na pesa zake ndani kwenye ndoo.

MKALITAZAME NA HILI PIA
 
Huko nyuma kulikuwa na malalamiko ya baadhi ya wafanyabiashara kunyofolewa pesa zao kwenye mabenki bila maelezo.

Baadhi ya akaunti ikiwemo ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zilifungwa.

Tuhuma hizi hazijakanushwa na mamlaka husika.

Kwa muktadha huo, kuliko niporwe hela zangu kindezi namna hiyo ni kheri niangamie nazo nyumbani.
 
Mkuu hujawasaidia kutafuta hizo hela, hayo ma bank charges huwasaidii kulipa, wakati Magu anagombola tu account za watu hukuwasaidia kupaza sauti iweje unawapangia pa kuweka hela zao, hivi waonaje nawe utafute zako alafu ukaweke unapotaka?
 
Ni kweli pesa tunaweka ndani shida ma bank yana utitiri wa makato pia hayana Siri yani hata mkuu wa wilaya anapiga simu atajiwe kiasi Cha fedha zako na anaweza toa amri akatiwe % katha hapo. Cha kufanya ni kununua sefu tu kila siku kujaza fedha humo hayo mambo ya fedha hakuna mtaani Dr was uchumi akaprint nyingine tu
 
Kutokujua sheria akukupi unafuu wa hukum.. swala la pesa iwekwe wap ilo lishazshnda serkal nying dunian sio kwetu tu
Watu kutunza fedha ndani manake hawajaelimishwa vya kutosha kuhusu mambo ya fedha, ambayo ni kazi ya serikali. Kumchukulia hatua mtu ambae hujampa elimu ni kumuonea.
 
Juzi mzee wangu amenusulika kufa na moto ndan kwake alikuwa na shiling milion5 zote zimebaki jivu kama familia hatujasikitika kupoteza m5 tumeshukuru mzee kapona na kuna jamaa yangu gar yake ilipiga short yaan betr kiasi cha milion 8 alikuwa anakipeleka bank kimeungua chote mana alichelewa kukiokoa, kwahy mnapoona mzunguko wa pesa hautoshelez c pesa zote zipo kwenye mzunguko zingine zinapotea na zingine zipo nchi za wenzetu mfano kuna mfanyabiashara mmoja hv yeye anakusanya pesa tz anazijaza kwenye mabeg anazipeleka nchi jiran kudhihifadh anasafirisha kwa kutumi mandoo yenye mafuta na huko haziend kwenye mzunguko na huko ziliko zinakaa tu mana nchi anayopeleka inatumia pesa yake
 
Moja Kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu,

Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu Cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.

Ndiyo maana H
Hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale Mwanza Shinyanga guest yule Mzee alivoungua na pesa zake ndani kwenye ndoo

MKALITAZAME NA HILI PIA
Waanze na wanaotunza fedha kwenye visiwa vifuatavyo :, viongozi wa toka awamu ya kwanza mpaka sasa

Waliopiga hela za EPA, Plea burgaining, hela za RELISGR, Ununuzi wa ndege awamu ya 5 wameficha hela hukiu

  1. Cayman Islands: .
  2. Bermuda: ).
  3. Switzerland: .
  4. Luxembourg: e.
  5. Singapore: .
  6. Panama:
  7. British Virgin Islands: .
  8. Bahamas: .
  9. Isle of Man: .
  10. Mauritius:
 
Toka miaka ileeeee kule Moshi mpaka leo, nilijifunza kwa mshua wangu, kiasi kidogo sana kitakaa benki kwa ajili ya dharura, 95% ya fedha nahifadhi nyumbani!

Hii serikali ya majambazi ya kifenenge sana, hawachelewi kuzitaifisha
Na ukiwa deni ama taasisi inakudai, wakienda TRA wakaweka TIN wanaona biashara zako zote, hivyo bora ukatawanya fedha zako, kipindi cha jiwe watu walijiua kwasababu hizi, sitaki itokee tena.
 
Raia waelimishwe kwamba hakuna tena tabia ya kuhamisha hela kwenye akauti au kufunga akaunti kama ilivyokuwa kwenye zile bureau
 
Moja Kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu,

Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu Cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.

Ndiyo maana H
Hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale Mwanza Shinyanga guest yule Mzee alivoungua na pesa zake ndani kwenye ndoo

MKALITAZAME NA HILI PIA
Sheria ipo. Kama sijakosea huruhusiwi kukaa na kiasi kinachozidi milioni tano ndani. Sema utachemka kwenye kuwakamata watu wanatunza pesa kwausiri sana.
 
Back
Top Bottom