Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawazungumzia wenye mamlaka sio wewenmeficha wapi mkuu ?pesa zangu mimi ziko bank nisha acha pigo za kale
tafuta zako mkuuMoja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu.
Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.
Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale Mwanza Shinyanga guest yule Mzee alivoungua na pesa zake ndani kwenye ndoo.
MKALITAZAME NA HILI PIA
Ukiweka pesa benk utakutana na haya:Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu.
Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.
Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale Mwanza Shinyanga guest yule Mzee alivoungua na pesa zake ndani kwenye ndoo.
MKALITAZAME NA HILI PIA
😀😀😀Tusio kuwa na hela tunacomment wapi?