Watu kutunza fedha ndani manake hawajaelimishwa vya kutosha kuhusu mambo ya fedha, ambayo ni kazi ya serikali. Kumchukulia hatua mtu ambae hujampa elimu ni kumuonea.
Waanze na wanaotunza fedha kwenye visiwa vifuatavyo :, viongozi wa toka awamu ya kwanza mpaka sasaMoja Kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu,
Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu Cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani.
Ndiyo maana H
Hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale Mwanza Shinyanga guest yule Mzee alivoungua na pesa zake ndani kwenye ndoo
MKALITAZAME NA HILI PIA
Na ukiwa deni ama taasisi inakudai, wakienda TRA wakaweka TIN wanaona biashara zako zote, hivyo bora ukatawanya fedha zako, kipindi cha jiwe watu walijiua kwasababu hizi, sitaki itokee tena.Toka miaka ileeeee kule Moshi mpaka leo, nilijifunza kwa mshua wangu, kiasi kidogo sana kitakaa benki kwa ajili ya dharura, 95% ya fedha nahifadhi nyumbani!
Hii serikali ya majambazi ya kifenenge sana, hawachelewi kuzitaifisha
Sheria ipo. Kama sijakosea huruhusiwi kukaa na kiasi kinachozidi milioni tano ndani. Sema utachemka kwenye kuwakamata watu wanatunza pesa kwausiri sana.Moja Kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu,