Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

Na nikwann mtu umpangie pakuweka pexa wakat namba yakuitafuta pexa hukumfundixha. Hiyo haijakaa poa, pexa weka popote unapotaka ww hatamakabulin xawatu xabab mwenye kuzitumia ni ww na mwenye kuzitafuta n ww
 
tafuta zako mkuu
 
Ukiweka pesa benk utakutana na haya:
-Majato yasiyokuwa na idadi
-kuambiwa muhujumu uchumi pesa ikiongezeka kidogo tu.
-Kuchunguzwa na vyombo vya usalama
-Kupanga fireni kwenye pesa yako.
-e.tc,..
NB: Pesa ikishaingia bank siyo yako wanaweza iblock mda wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…