UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Nachosema ni kwamba ninyi mnahusisha vifo vya watu na covid pasina kuwa na ushahidi wowote ilimradi tu Kwa sababu kuna covid basi mnaamua tu kuhusisha vifo vya watu na huo ugonjwa kwa sababu zenu binafsi na ndio nikatoa mfano wa Magufuli, mnahusisha kifo chake na corona tena kwa kulazimisha pasina ushahidi wowote na kujifanya wenyewe mmezinyaka taarifa nyeti kama hizo na cha kushangaza ndio nyie nyie mlikuwa mnasema mmepata taarifa kuwa Magufuli kachanjwa kisirisiri ndio maana haogopi corona hivyo anawatoa wenzie kafara.Wapi nimepinga kuwa sio madhara ya chanjo? Nachosema ni kwamba wangekiri kachanjwa basi hta kma ana kifafa wangesema ni madhara ya chanjo na operation ingefia hapo.
The thing is waliokufa au kupata madhara ya chanjo ni 0.003 ya wote waliochanjwa duniani. So sio kweli kwamba chanjo ina madhara unless ziwe long term.
Kingine JPM alipinga chanjo lakini akatumia kifaa cha kusaidia kuboost moyo ssa kma hamuamini mzungu ila Mungu hiyo defibrillator alitumia ya nini?? Anyway I confirmed from credible sources kuwa kilichomuondoa ni Covid tena variant ya sauzi!!
Sasa kwenye issue ya chanjo nyinyi mnapinga kuhusishwa chanjo na matatizo wanayopata watu ambao walichanjwa kama ambavyo ninyi mnavyohusisha vifo vya watu na corona, yani mtu aliyechanjwa akipata tatizo mtaanza kujitetea kuwa mara chanjo haihusiani hilo tatizo mara sijui huyo mtu alikuwa na matatizo yake mengine hivyo sio chanjo iliyosababisha hivyo, kwa kifupi yamewekwa mazingira ya kukwepa hayo malalamiko ya madhara ya chanjo halafu mnajisifu kwa uchache wa malamiko ya madhara ya chanjo. Sasa kama hilo tukio mwenyewe unasema kuwa inawezamekana alichanjwa ila wameamua kuficha ili isiharibu zoezi la chanjo, sasa katika mazingira kama hayo unategemea kweli tutajua madhara wanayopata watu kwa sababu ya chanjo?