zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hata kwenya michezo au mieleka ukitoka kwenye operation au homa na kuingia uwanjani unapewa fomu ya consent ujaze ili litakalotokea taasisi husika isiwe liable. Na kuna wachezaji wamesign sana tu recently Eriksen amepona kwenye tatizo la moyo kabla ya kurudi uwanjani atatakiwa kusign hyo fomu otherwise hatoruhusiwa kucheza tena.Haya mkuu, kwanza hata hivyo hata ukipata madhara yenyewe huwezi kushtaki popote hivyo sio muhimu hayo malalamiko.
Mie binafsi nimewahi pewa fomu kabla ya operation ya koo... Ilikua high risk so ilipaswa nijaze hiyo fomu. Hofu zangu zikafanya nikimbie but kma ninge sign ina maana unless uzembe utokee, ningekufa sababu ya complication za operation then sina wa kumlaumu.
Wabongo tunakosa exposure ndio maana tunakuwa watu wa lawama.... Hizo consent form zipo kila sekta.