zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani kahusisha?? Wizara ya Afya ama?? Maana wao ndio wamepinga kuwa issue sio chanjo ssa kwanini una generalise? Mimi nimemsingizia nani humu jf? mie niliwahi kukwambia wazazi.... 5 workmates.... Waliponea ICU Na wachungaji wangu 3 walikufa kwa covid kabisa so ukinijibu ni face kwa nachosema sio kwa kutumia random jf commentsNachosema ni kwamba ninyi mnahusisha vifo vya watu na covid pasina kuwa na ushahidi wowote ilimradi tu Kwa sababu kuna covid basi mnaamua tu kuhusisha vifo vya watu na huo ugonjwa kwa
Kuna uwezekano amechanja ila kukubali kwamba amechanjwa.... Ina maana hta kma ataugua Malaria au kisukari kishuke/kipande then watu wataamini ni chanjo tu imemdhuru na sio kingine. So kukiri amechanjwa kweli ita jeopardise operation nzima.
Mbona Maalim au JPM hawakuchanjwa na walifariki ''ghafla'' ila leo hii akifariki Mbowe au Mpango utaskia "chanjo zimejibu".
WaTanzania ni watu wasio wadadisi so kuchanganua ni ngumu sana tofauti na Kenya au Uganda. Tunapenda sana umbea so whether amechanjwa or not haina maana sukari inapotea. No wonder imesikika akipewa pipi na soda hapo kwa clip.
Tuache misinformation zisizo kuwa na tija na kutishana. Unaogopa chanjo kuliko hata corona yenyewe?? Mionzi tu ya smartphone inatuua taratibu lakini unakuta jitu limeshika hyo hyo smartphone linapovuka mabeberu wanataka kutuua!!
Funny
Maza yupo bize na barakoaNi miparaganyiko kila kona. Tunaenda kama kundi la nyumbu.
kuna watu mna akili chafu sana...hao freemasons wakuue laeo ili hali hospitalini unakwenda kila siku dawa zote unazotumia wanatengeneza wao. wangetaka kukuua wangekuua tangu hujazaliwa, maana mama yako alipotungwa amimba alipigwa chanjo kibao ili ukue tumboni na uzaliwe ukiwa na fya.Kwa hiyo wote ambao hawakuvaa Condom miaka hiyo wakipiga michepuko walikufa kwa Ukimwi?
Hizi ni chanjo za kukupa matumaini tu lakin kama Corona inakubeba kama kawaida na wenywe wamekiri na watu wamelazwa muda huu huko huko zilipoanzia chanjo
Umepewa kichwa kufikiri sio kuwa kapu la kuhifadhia propaganda za ma Freemasons
kamuulize mama yako na baba yako ikiwa hukuchanjwa hiyo polio au la?Kabla ya hayo machanjo, akina mama walikuwa hawazai?
Na unajuaje kama hayo machanjo ya polio na pepopunda hayana madhara? Au kwa kuwa mabeberu wamekwambia hayana shida basi unabugia tu!
Hizi sio zama za kuwapumbaza watu kwa ujanja ujanja. Watu wanajitambua na hawako tayari kudungwa matakataka ya covid.
kuna watu mna akili chafu sana...hao freemasons wakuue laeo ili hali hospitalini unakwenda kila siku dawa zote unazotumia wanatengeneza wao. wangetaka kukuua wangekuua tangu hujazaliwa, maana mama yako alipotungwa amimba alipigwa chanjo kibao ili ukue tumboni na uzaliwe ukiwa na fya.
na ulipozaliwa tu ukapigwa chanjo ya dtp-polio, pepo punda, surua etc.....hizo zote zilitengenezwa na nani? acha kuamini videao clips za TicTok!
by the way nani alikwambia kuwa condom ni chanjo na ukimwi?
Waliochanjwa ni laki 2 kati ya waTanzaia million 60!! Sasa kweli kuna sample ya kutosha ya waliopigwa chanjo hadi kudai kwamba wanaopata shida ni sababu ya chanjo??mtu aliyechanjwa akipata tatizo mtaanza kujitetea kuwa mara chanjo haihusiani hilo tatizo
We unamzodoa mwenzio lakini ww ndio una reasoning ndogo sana.Kwa hiyo wote ambao hawakuvaa Condom miaka hiyo wakipiga michepuko walikufa kwa Ukimwi?
Hata dawa za kawaida tu unadhani zinakua na efficacy sawa kwa kila binadamu? Kuna watu wanatumia ARV ila CD 4 zinashuka tu.... je umewahi sikia zinapigwa vita?? Maana its better than nothing!! Hata nkikuuliza hapa una mbadala gani huna jibu?Hizi ni chanjo za kukupa matumaini tu lakin kama Corona inakubeba kama kawaida na wenywe wamekiri na watu wamelazwa muda huu huko huko zilipoanzia chanjo
Kwahiyo Freemason ndio wameleta pia chanjo ya Polio na Ebola Africa? Kabla ya hapo tulikua tunakufa kma mende eti leo hii wakileta chanjo ya Covid ndio wanakua freemasons??propaganda za ma Freemasons
Maelezo meeeengi hujajibu swali,We unamzodoa mwenzio lakini ww ndio una reasoning ndogo sana.
Hvi unaweza linganisha airborne na ngono?? Yaani mpka umvue binti nguo ndio upate VVU ilihali covid akiwa nayo mmoja tu kwenye kadamnasi anatosha kuwaambukiza kwa salamu tu!!
Hata dawa za kawaida tu unadhani zinakua na efficacy sawa kwa kila binadamu? Kuna watu wanatumia ARV ila CD 4 zinashuka tu.... je umewahi sikia zinapigwa vita?? Maana its better than nothing!! Hata nkikuuliza hapa una mbadala gani huna jibu?
Kwahiyo Freemason ndio wameleta pia chanjo ya Polio na Ebola Africa? Kabla ya hapo tulikua tunakufa kma mende eti leo hii wakileta chanjo ya Covid ndio wanakua freemasons??
Typical CCM mindset.... Speculations tu
Wewe unadhani wanaohimiza kuvaa condom unadhani wao wanazitumia ? lkn je ukimwi si upo na unaua? kwahiyo maamuzi ni yako, kwenda pekupeku au kutumia, mwingine anainunua lkn akifika kwenye tukia ile shape ikimchanganya condom anatupilia mbali.WEWE NI GENIUS...
NAMI NIMEMSIKIA UYO DOGO AKISEMA YEYE HAJACHANJWA ILA SUKARI TU MWILINI NDIYO ILISHUKA, DAH NIMEJISIKIA HASIRA SANA, INAKUAJE SIKU ZOTE TANGU YULE BIBI APRETEND AKICHANJA AMBAYE KIUKWELI HAKUJACHANJA MPAKA IYO SIJUI JANA KTK ILO KONGAMANO LIKIFANYIKA ZIPITE BADO UYU ANAYEPIGIA CHAPUO HII CHANJO UKU YEYE AKIKIRI KUWA HAJACHANJWA???.
NAZIDI KUAMINI KUWA ATA MADAM AMESHIRIKI KUTUUZA ILI YEYE APIGE ELA ZA WAZUNGU
Wewe ni mmoja kati ya wanaodai kuwa Magufuli alikufa kwa corona pasina kuwa na ushahidi na ndio maana nikakuweka kwenye hilo kundi kama watu ambao mnahusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi.Nani kahusisha?? Wizara ya Afya ama?? Maana wao ndio wamepinga kuwa issue sio chanjo ssa kwanini una generalise? Mimi nimemsingizia nani humu jf? mie niliwahi kukwambia wazazi.... 5 workmates.... Waliponea ICU Na wachungaji wangu 3 walikufa kwa covid kabisa so ukinijibu ni face kwa nachosema sio kwa kutumia random jf comments
Sio kila anayepinga chanjo anatumia hoja ya sijui wazungu wanataka kutuuwa inaonesha wewe umeishia kumsikiliza Gwajima tu hujui kama kuna hadi madaktari Maprofesa wenye kupinga chanjo kwa kutumia hoja za kisayansi.Yaan chakushangaza ni kuwa watu wanatumia nguvu kubwa kupinga chanjo ukiuliza sababu kubwa hakuna ni ilimradi tu kasikia[emoji848] kwani huyo mzungu anayetaka kutuua anashindwa kuweka hiyo sumu kwenye panado? Au hata kwenye bia tu
Haya mkuu, kwanza hata hivyo hata ukipata madhara yenyewe huwezi kushtaki popote hivyo sio muhimu hayo malalamiko.Waliochanjwa ni laki 2 kati ya waTanzaia million 60!! Sasa kweli kuna sample ya kutosha ya waliopigwa chanjo hadi kudai kwamba wanaopata shida ni sababu ya chanjo??
Mtu mpumbavu ni kama ninyi waoga mliopewa chanjo na kukataa na mkiumwa bado oxijeni inawanyemelea pale muhimbili, kama mnabahati kupewa hiyo oxijeni.Kufa hata wewe utakufa ukubali chanjo au ukatae, pumbavu!!!
Mkuu usiige kunya kwa tembo, jifikirie wewe mwenyewe kwanza.Je hawa wanaotuminisha chanjo ni salama na wakadiriki kucheza futuhi kumchoma mama ili watu tuamini ni salama
Halafu cha ajabu wao wenyewe hawajachanja?
Bahati nzuri COVID-19🦠 haiui kila mtu kwa watu wataendelea kupinga lakini hawatakufaKuna uwezekano amechanja ila kukubali kwamba amechanjwa.... Ina maana hta kma ataugua Malaria au kisukari kishuke/kipande then watu wataamini ni chanjo tu imemdhuru na sio kingine. So kukiri amechanjwa kweli ita jeopardise operation nzima.
Mbona Maalim au JPM hawakuchanjwa na walifariki ''ghafla'' ila leo hii akifariki Mbowe au Mpango utaskia "chanjo zimejibu".
WaTanzania ni watu wasio wadadisi so kuchanganua ni ngumu sana tofauti na Kenya au Uganda. Tunapenda sana umbea so whether amechanjwa or not haina maana sukari inapotea. No wonder imesikika akipewa pipi na soda hapo kwa clip.
Tuache misinformation zisizo kuwa na tija na kutishana. Unaogopa chanjo kuliko hata corona yenyewe?? Mionzi tu ya smartphone inatuua taratibu lakini unakuta jitu limeshika hyo hyo smartphone linapovuka mabeberu wanataka kutuua!!
Funny
Hyo ni variant tofauti usidai kwamba chanjo haifanyi kazi useme hapa kwamba chanjo haikua 100% compatible for variant ya delta ambayo ilikuja Zaidi ya mwaka toka chanjo igundulike ndio maana pfizer et al wameanza tengeneza zilizo more efficient kwa variant mpya.Maelezo meeeengi hujajibu swali,
kuna watu wamemaliza chanjo zote na sasa hivi wapo kwny mitungi ya gesi corona inawamaliza, 52% ya admitted patients kwa takwimu za mwezi uliopita ni wale ambao wapo vaccineted?
Hizi taarifa ndio zinasababisha watu wakatae chanjo Dunia nzima hadi Marekan wameanza kutoa rushwa ya dola mia baada ya hoja kushindwa kushawishi Umma, toa ufafanuzi wa wasiwas huu usikimbilie kwny kichaka cha kuitaja Ccm haihusiki hapa
Mkuu mimi nina uhakika 100% naomba uende kwa cardiologist yeyote pale JKCI ukiambiwa jibu tofauti na hili ntafuta akaunti yangu hapa JF.Wewe ni mmoja kati ya wanaodai kuwa Magufuli alikufa kwa corona pasina kuwa na ushahidi na ndio maana nikakuweka kwenye hilo kundi kama watu ambao mnahusisha vifo vya watu na corona pasina ushahidi.