Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
ndo maana zikitangazwa nafasi wanajaza watoto wao,wanakaa cozi miezi sita wakitoka wanajiunga afisa kadeti ili wawarithi.Kuna wanajeshi wa nchi fulani mtu mpaka ana staafu hata vita haijui
Ova
kozi wanafanya za maelekezo,ila ni sawa si nchi ya amani ukiwa soja ni kula starehe na kubadili magari