Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

ndo maana zikitangazwa nafasi wanajaza watoto wao,wanakaa cozi miezi sita wakitoka wanajiunga afisa kadeti ili wawarithi.
kozi wanafanya za maelekezo,ila ni sawa si nchi ya amani ukiwa soja ni kula starehe na kubadili magari
Wanakula maisha si walikula kwata
 
Bwana yenu huyu hapa amewaacha hamna malinda.

Kidole alichokuwa anawapigia dole chaliiii

Kawahi mabikra 72
 
Hivi ule ukomandoo wa kuvunja matofali kwa ngumi hatuwezi kuomba hata vita ya kirafiki na 'kwetu pazuri'? Tuchukue mateka dada zao!
Ahahahah weee jamaa jinga sana,,, kwetu pazur naskia na wenyew wanatutaman sana kujipima na sisi ,Kwa kwel tukapate mbegu mchanganyiko wa tz na kwetu pazur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…