Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

Ulimsikia Mbunge na kada wa CCM toka kanda ya Ziwa ,mh.Musukuma kipambana ili Wamatumbi wanaoitwa Wamachinga wasipatiwe maeneo rasmi ya biashara ? Anapambana na kuwatetea ili wajenge vibanda vya biashara kwenye mitaro ya barabarani ?
Jiulize Mbenge kutoka kwa wafugaji wasio na ardhi ,Mbunge mfanyabiashara ya madini ,Mbunge ambaye wanapiga kura wake kuna wakati walikua wanahamasishana kufyatua watoto na kuongeza wake wengi!!
Hivi ni kweli Huyo Mbunge anauchungu na Wamatumbi toka mchinga palipojaa Jipsam na Korosho?
Tujiulize Wakati wamachinga walipoanza Kurudi Vijijini kulima korosho ,mbona hakuwatetea wasiporwe pesa zao za Korosho ? Serikali ilipokwapua pesa za Korosho na Musukuma na Polepole walikaa kimya na kusababisha zao lao LA Korosho liporomoke na kukosa soko mpaka Leo na kusabisha wamachinga warudi Kwenye hifadhi za barabara kuuza midoli toka China na pipi toka China huku wakizidi kukuza uchumi wa China kwa kukwepa kodi rasmi na kusababisha Wafanyabiashara toka Kongo na Sudani kusini kukimbilia Kampala baada ya kuziba kila mahali na kufanya jiji kuwa kama eneo la vibaka na wababaishaji.

Wakati huo huo awamu ya NNE ilipoanzisha miradi mikubwa ya Gesi, viwanda ,vikubwa vya Saruji walilenga kuwavutia vijana wa kimatumbi maarufu kama wamachinga warudi kwao kuendeleza ardhi yao yenye utajiri mkubwa sana Afrika na duniani. Ardhi ambayo inapaswa kuwa kivutio kikubwa cha watalii kwani ndilo eneo lililothibitika mpaka sasa kuwa waliishi Mijusi wakubwa sana Karene nyingi zilizopita. Na moja ya mabaki ya mijusi hao ipo mpaka Leo kule Ujeruman. Badala ya serikali kupambana ili mabaki hayo yarejeshwe Tanzania wao wanapambana na watu wanaovaa tisheti za Katiba mpya na kuwatelekeza kwa kudhibiti zao la Korosho lisije likawanufaisha Wakulima na kuvuruga Uwekezaji kwenye Gesi na Viwanda vya Sariji. Matokeo yake Wamatumbi wamekimbilia kuishi na kufanya biashara mitaroni DSM . Wakati huo wafugaji wanaotoka kwenye jimbo la Musukuma na wafanyabishara wa madini wanakimbilia kwa kasi kubwa sana Lindi na Mtwara ambapo kuna ardhi nzuri na kubwa.
Tchaaaah!




Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hili swala ni very complex kwa kweli. Unatamani mji uwe msafi na kuwe na mpangilio mzuri, lakini unapita njiani unaona the way watu wanavyobomoa and they don't know where to go, some have got mikopo, vikoba, wanasomesha na kulisha watoto...it's very complicated kwa kweli.

Kama kuna namna serikali ikafanya, mazingira wezeshi na maeneo walau yenye tija kwa wafanyabiashara za kupanga (manake wengi wetu tunafanya biashara ndogondogo hata kama tumepanga frem).

Nimeona hapo Mbezi mwisho people are demolishing mabanda kwa mikono yao, sad sad yani. Ila msumeno wa sheria ni mkali, mkali hasa kwa walio chini. Basi hata hizi tozo ziende kusaidia kuwekeza katika eneo hili pia ili hii tunaiita keki ya taifa igawiwe kwao pia. I just don't know how this will end, Ila naona kundi kubwa la kipatoless, kundi kubwa la watu waliojikatia tamaa..sad sana!!
 

Wamachinga walikuwa wamechafua sana jiji kiasi kwamba Jiji lilikuwa linaonekana lichafu kwasababu wamezagaa kila sehemu mara wauza pweza, mara wachoma mahind yani tafrani
 
sijavunjiwa kibanda mimi.

kumbe wewe unashabikia sababu hu miongoni mwa wavunjiwaji!!!!
Wala sishabkii chochote ila naungana na ile iliyo sahihi tuwe na sehemu za kufanyia biashara,, sikuhizi wala ile misongamano isiyokuwa na maana hamna
 
Yaah umeandika kwa uchungu sana mno naungana na wewe.............. Sema pia na wao walijisahau kabisa hawakuwa wanaweza kujipanga vema na kuweka angalao sehemu staarabu... its real bad but ukiwa unatembea na ule uhuru wa waenda kwa miguu unaona bora tuu wajipange. Ilikuwa ni shida maana huna pa kukanyaga kamwe
 
Wala sishabkii chochote ila naungana na ile iliyo sahihi tuwe na sehemu za kufanyia biashara,, sikuhizi wala ile misongamano isiyokuwa na maana hamna

misongamano isiyo na maana,itakuwaje na maana wakati umevimbiwa!!!!


mimi nashauri,tumemaliza la machinga,kifatacho kuvunja nyumba duni manispaa tote ili iwe jiji kweli kweli,au unasemaje ndugu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…