Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

sijafaham,ila serikali ambayo ina vision haikupaswa kuvunjia watu bali iwawezeshe.
watu hamna uwezo wa kuwapa ajira,halafu hata hizo duni wanazojitafutia mnawakwamisha.

hivi mkuu umejaribu kuchora mchoro wa madhara waliyosababishiwa!!!hapa masaki mwisho kuna wakina mama kadhaa wameshapoteza tumaini la kesho yao,eti kisa wanachafua taswira ya jiji!!!yaani jiji kama jiji lina vichwa vya mbuzi humo ofisini hata kuomba mkopo lichonge vibanda hamishika livikodishe kwao kwa kodi nafuu!!!

tunakubali kuna sheria ndio,ila yatupasa kujua sheria nyingi zimechakaa haziendani na maisha ya sasa.kipindi sheria zinatungwa hakukuwa hata na huduma za kifedha kwa simu.

kumwacha bata azurule hovyo uwanjani kisha akanya,unaonekana wewe mfugaji ndio hauko makini,badala ya kushinda unamfukuza,mchingee banda huru.
Mkuu ukitaka kila mtu awezeshwe na serikali sidhani kama serikali itaweza, walimu kibao wamemaliza vyuo hawana ajira ila serikali inaajiri wachache wengine wakatafute maisha bila kuvunja sheria, kwanini mmachinga aruhusiwe kuvunja sheria? Unajua kariakoo watu wanagongwa na magari kwasababu wanapita njia ya magari? Embu nenda leo ukapite njia uhuru toka kariakoo kwenda karume upande wa tbl uone kama kuna njia
 
Wewe ulikua unaficha nini huko?!!..Ni mtu wa ajabu ambae hakujua uchafu na hatari iliyokuwepo kwenye barabara zet!!..

hatari myfoot!!!!

yaani ni kweli kabisa akili za watanzania wengine mmeafiki uchafu uliwashinda sababu machinga[emoji16][emoji16]

mimi nipo hapa,nataka kushuhudia jiji likiwa safi.
 
Mkuu ukitaka kila mtu awezeshwe na serikali sidhani kama serikali itaweza, walimu kibao wamemaliza vyuo hawana ajira ila serikali inaajiri wachache wengine wakatafute maisha bila kuvunja sheria, kwanini mmachinga aruhusiwe kuvunja sheria? Unajua kariakoo watu wanagongwa na magari kwasababu wanapita njia ya magari? Embu nenda leo ukapite njia uhuru toka kariakoo kwenda karume upande wa tbl uone kama kuna njia

serikali yoyote duniani huwa inakosa vitambi kwa kufikiri kila mbinu za kurahisisha mzingira ya utafutaji.

unasema sheria inavunjwa,tutulize akili kufikiri madhara ya sheria hiyo kuvunjwa na faida wanazopata wananchi wakiwa wanavunja sheria hizo ni sawa!!!sheria ni maandishi tu yanaweza sahihishwa muda wowote itakapoonekana inafaa,but who care???sababu wao kula yao ni 100%

nimetoa wazo kule juu,kwamba badala jiji kuhangaika hangaika tu bila vision,ilifaa wakakope wajenge vibanda vya mbao na bati standard kisha wakodishe kwa gharama nafuu.mbona simple tu haihitaji hata degree yani.
lakini ni yale yale ya kutoboa chini mv bukoba ili tajiri aokolewe!!maanina.
 
Machnga wengi wanatoka Mkoa wa Lindi na mtwara.

Mikoa yenye utajiri mkubwa wa Mali asili.
Mikoa yenye Misitu yenye mboa ngumu sana.
Mikoa yenye Nazi nyingi sana .
Mikoa yenye Korosho nyingi sana .
Mikoa yenye Jipsam nyingi sana.
Mikoa yenye Gesi nyingi sana.
Mikoa yenye ardhi kubwa sana yenye nyasi nyingi sana.
Mikoa yenye madini mengi sana ambayo yapo ardhini.
Mikoa yenye ardhi inayoota Pamba,Mkonge,Alzeti, Maembe, mananasi, Machungwa n.k.
Lakini ni Mikoa yenye vijana wanaojituma lakini waliokoseshwa Elimu tangu Mkoloni baada ya Kumkataa Mzungu Beberu Mjerumani na kumvurumisha asikalie ardhi yao kimabavu.

Palikua na agenda gani ya kuwaacha Vijana wenye nguvu wa Kimatumbi wakimbilie DSM na kuacha ardhi yao yenye utajiri mkubwa namna hiyo? Ardhi ya Lindi na Mtwara inakimbiliwa na wafugaji toka kanda ya ziwa na Manyara na Arusha.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hebu badilisha namna yako ya kufikiri
 
Mitaji ina patikana mashambani na darasani hakuna namna serikali inaweza kukuwezesha namna unachofikiria!!.. Serikali inatoa mikopo vijana mnaenda kubet na kufanya uhuni mnadhani kuna shortcut!!..
 
Kwenye hili la Wamachinga serikali inahitaji pongezi, maana ilifikia hatua kukawa kama ni vurugu vibanda kila mahali..Unaamka asubuhi unakuta mtu amejenga kibanda pembeni ya geti la nyumbani kwako na hauna uwezo wa kumwondo kisa ni mnyonge. Tulikosea sana kwenye hili na tunahitaji kuwa makini isije kujirudia. Nakumbuka Mbezi Luis pale wakati Polepole akiwa mkuu wa Wilaya alifanikiwa kuwaondoa Wamachinga na yale maene yakaa vizuri baadaya sijui walingiiwa na nini wakarudi kwa kasi na hatimaye kuharibu kabisa maeneo yale.
Wageni walikuwa wanatushangaa sana hasa wale ambao walishawahi kuju miaka ya nyuma...umakini unahitajika
 
Basi Itapendeza TARURA/TANROAD wanapojenga Barabara, wasiweke service road , wala peavings , WAWEKE MABANDA Pembezoni mwa Barabara zote nchini yakae tu hata kama hakuna wahitaji maana wanyonge wanatakiwa wafanye Biashara Humo!
Tanzania haina Wanyonge, hili la kuweka mabanda kila sehemu linasababisha kujenga taifa la wavivu wa kutafutia njia za kipato na kuwaza kuchuuza tu...iliongeza rural to urban migration.. na vijana wengi wakawa hawataki kazi ngumu..anataka laini laini tu. Unaenda dukani unachukua vitu unapanga chini unauza unarudisha pesa ya manunuzi..bila kulipa kodi...this was real bullshit business and thinking, Hongera kubwa sana kwe serikali ya sasa awamu ya 6 kwa kulichukulia maamuzi..
 
Mitaji ina patikana mashambani na darasani hakuna namna serikali inaweza kukuwezesha namna unachofikiria!!.. Serikali inatoa mikopo vijana mnaenda kubet na kufanya uhuni mnadhani kuna shortcut!!..

hivi ndivyo mayor na RC wanavyofikiria.
 
hata nikuite mbuzi,ni kumkosea mbuzi adabu.

nyinyi samaki ndio mmejaa ofisi za uma mnafanya wastani ktk biashara??

mauzo ya 12000 faida ni shingapi!!!au wewe kazi yako ni kukariri na kupeleka hesabu manispaa kwamba mayor mauzo ni elfu 12000.
Ndio maana nimekwambia wewe ni MPUMBAVU kasome sheria za kodi vizuri. Huna unalolijua. KODI HULIPWA KUTOKANA NA MAUZO kwa wale PRESUMPTIVE na wale wanaojikadiria au makampuni au ushirika ni KUTOKANA NA FAIDA. Wewe hustahili kuwa hapa jukwaani yafaa ukae nyumbani Unyonyeshe watoto wako.
 
Usafi Una maana kubwa sana!!...

good.

usafi na machinga ni vitu havina uhusiano,ila sababu tumeshindwa kuwajibika tunatafuta popote tu pa kuangushia lawama.

ni sawa na useme usafi wa nyumba yako unakushinda sababu kuna nguo nyingi.
 
Ndio maana nimekwambia wewe ni MPUMBAVU kasome sheria za kodi vizuri. Huna unalolijua. KODI HULIPWA KUTOKANA NA MAUZO kwa wale PRESUMPTIVE na wale wanaojikadiria au makampuni au ushirika ni KUTOKANA NA FAIDA. Wewe hustahili kuwa hapa jukwaani yafaa ukae nyumbani Unyonyeshe watoto wako.

ndio maana nikakwambia wewe ni mbuzi,hapa hatuzungumzii sheria ila uhalisia.

nimekuuliza baada ya hiyo sheria inayosimamiwa na bwana ako mwenye kisukari hapo TRA imesaidia kukusanya shingapi kwa wafanyabiashara!!!

machina wote wamesomeka chini ya mstari huo,unajua kwanini???nyinyi ndio wapuuzi mmejaa huko maofisini hakuna kitu mnasaidia serikali zaidi ya kuigombanisha na wananchi.
meisho serikali haioni inachopata kwa hao watu mpaka kuona ni uchafu tu kama hivi,majinga nyinyi sana.
 
Machnga wengi wanatoka Mkoa wa Lindi na mtwara.

Mikoa yenye utajiri mkubwa wa Mali asili.
Mikoa yenye Misitu yenye mboa ngumu sana.
Mikoa yenye Nazi nyingi sana .
Mikoa yenye Korosho nyingi sana .
Mikoa yenye Jipsam nyingi sana.
Mikoa yenye Gesi nyingi sana.
Mikoa yenye ardhi kubwa sana yenye nyasi nyingi sana.
Mikoa yenye madini mengi sana ambayo yapo ardhini.
Mikoa yenye ardhi inayoota Pamba,Mkonge,Alzeti, Maembe, mananasi, Machungwa n.k.
Lakini ni Mikoa yenye vijana wanaojituma lakini waliokoseshwa Elimu tangu Mkoloni baada ya Kumkataa Mzungu Beberu Mjerumani na kumvurumisha asikalie ardhi yao kimabavu.

Palikua na agenda gani ya kuwaacha Vijana wenye nguvu wa Kimatumbi wakimbilie DSM na kuacha ardhi yao yenye utajiri mkubwa namna hiyo? Ardhi ya Lindi na Mtwara inakimbiliwa na wafugaji toka kanda ya ziwa na Manyara na Arusha.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Palikua na agenda gani ya kuwaacha Vijana wenye nguvu wa Kimatumbi wakimbilie DSM na kuacha ardhi yao yenye utajiri mkubwa namna hiyo? Ardhi ya Lindi na Mtwara inakimbiliwa na wafugaji toka kanda ya ziwa na Manyara na Arusha.[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
 
Tubishane kwa staha, tukosoane kwa weledi..kwa kufanya hivyo tutakuwa tumeitendea haki slogan yetu ya The home of great thinkers!
 
Back
Top Bottom