Machnga wengi wanatoka Mkoa wa Lindi na mtwara.
Mikoa yenye utajiri mkubwa wa Mali asili.
Mikoa yenye Misitu yenye mboa ngumu sana.
Mikoa yenye Nazi nyingi sana .
Mikoa yenye Korosho nyingi sana .
Mikoa yenye Jipsam nyingi sana.
Mikoa yenye Gesi nyingi sana.
Mikoa yenye ardhi kubwa sana yenye nyasi nyingi sana.
Mikoa yenye madini mengi sana ambayo yapo ardhini.
Mikoa yenye ardhi inayoota Pamba,Mkonge,Alzeti, Maembe, mananasi, Machungwa n.k.
Lakini ni Mikoa yenye vijana wanaojituma lakini waliokoseshwa Elimu tangu Mkoloni baada ya Kumkataa Mzungu Beberu Mjerumani na kumvurumisha asikalie ardhi yao kimabavu.
Palikua na agenda gani ya kuwaacha Vijana wenye nguvu wa Kimatumbi wakimbilie DSM na kuacha ardhi yao yenye utajiri mkubwa namna hiyo? Ardhi ya Lindi na Mtwara inakimbiliwa na wafugaji toka kanda ya ziwa na Manyara na Arusha.
Sent from my TECNO L8 Lite using
JamiiForums mobile app