Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

Mimi hapa natoa kote huko;
Kwenye maharage inatoa gesi na ukitupia na cubes za sotojo San Francisco hii hapa

Kwenye chapati na yambi ni kuongeza taste tu
 
Wanaweka sukari kwenye maziwa ya mtindi na mahindi ya kuchoma wanaweka pilipili na limao,.kiufupi ukiona hivyo jua hao ni watoto wa mjini sio waliozaliwa bush
 
Ni issue ya makuzi tofauti tu.

Miaka hiyo uji wa unga wa mahindi nilikuwa naweka chumvi na ndimu na wengine wakawa hawanielewi kabisa. Lakini kwa makuzi yangu ilikuwa kawaida kabisa hiyo.
 
Back
Top Bottom