Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?

Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Wanataka ladha ya sukari mkuu?
 
Nikikumbuka ni basi tu nilikuwa Yale maharagwe yenye sukari ila na mimi niliwashangaa sana Hawa watu hususani wako dar na zenj
Siku ingine wakataka kuweka kwenye tambi nikawaambia wacheni upumbavu mnatengeneza pipi au mnapika chakula au kama vipi pikeni afu mjikorogee wenyew mezani
 
Kwenye kande pia wanatia sukari, kwenye mtindi wanatia sukari, kwenye mahindi ya kuchoma wanatia makitu mengi sijui pilipili ndimu na vikorokoro nisivyojua..

Watu wa pwani wana mambo sana.
 
kwakweli kwenye maharage hata mimi sielewi ni kwanini ila kwenye pasta huwa hata mimi nashangaa why
 
Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?

Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Mie kuna mmoja ananichanganyaga sana yani anaweka mafuta wakati wa kupika wali.

Na mwengine ndo ananivuruga kabisa kuipika nyama
 
Upula ndio hatari zaidi, ukiwekwa hapo kwa INALAMBWA , pitisha ndimi za kenge kwenye antenna na mashavu, aaaaaawwwwch! ........
 
Back
Top Bottom