Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #101
Sijawahi kuona mtu anaweka chumvi kwenye mtindi, watu huwa wanakunywa mtindi bila kuongeza chochote(plain) au kwa kuongeza sukari au asali. Hata yoghurt za asasi huwa zinawekwa sukari.Sioni kama kuna shida. Mimi huwa naweka sukari kwenye mtindi. Sioni tatizo lolote. Wewe mwenyewe itabidi tukushangae.