binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatengeneza pipi ! 🤣🤣🤣Nikikumbuka ni basi tu nilikuwa Yale maharagwe yenye sukari ila na mimi niliwashangaa sana Hawa watu hususani wako dar na zenj
Siku ingine wakataka kuweka kwenye tambi nikawaambia wacheni upumbavu mnatengeneza pipi au mnapika chakula au kama vipi pikeni afu mjikorogee wenyew mezani
Wewe unaweza kula mchicha uliochemshwa ukajazwa asali?Ni recipe nzuri, tatizo huku kila kitu kinaliwa na wali/ugali ndio maana hiyo recipe inakataa.
Mimi huwa namwagia asali (kuna umwagaji wake lakini kisha ndo nailamba)Kuna watu wanaweka sukari hadi kwenye ...
INALAMBWA
Unalimwagia hilo lishangaziMimi huwa namwagia asali (kuna umwagaji wake lakini kisha ndo nailamba)
Hapana at all.Wewe unaweza kula mchicha uliochemshwa ukajazwa asali?
Sioni kama kuna shida. Mimi huwa naweka sukari kwenye mtindi. Sioni tatizo lolote. Wewe mwenyewe itabidi tukushangae.Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Mkishabugia urojo hapo Mchambawima huwa mnaropoka sana.Nyie machogo wa bara kwani mnapika au mnakoroga
Kumbe Wewe ni chogo ndio maanaMkishabugia urojo hapo Mchambawima huwa mnaropoka sana.
Nilishangaa kuona Jamaa anapambia sukari kwenye Samaki wa kukaangaUnaweza kuweka sukari kwenye makande?
Brother chakula ni sehem ya utamaduni na ubunifu, mm pia nashangaaa watu wanaoweka parachichi na chumvi kwnye makande, watu wanaokula kichuli na watu wanaokula ugali kama chakula cha asubuhi!!Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Kuna binadamu wanapenda taste za ajabu sana!Niliingia Spar kununua maziwa wakati naelekea kwa kaunta kulipa nikaona rost nzuri ya Nyama Plus vitu vingi vingi ambavyo sijawai kula.kwa macho vinavutia aswaa.nikakusanya kadili yangu then nikalipa.
wakati naanza kula naweka nyama mdomoni,nyama ni Tamu kama Nakula NANASI.
ikabidi niulize..wakasema wametia SUKALI KWENYE NYAMA.
nilikuwa bored sana aisee. ndiyo mara ya kwanza kukutana na Nyama yenye Sukari.
Utamaduni wa kuweka sukari katika maharage, tambi na makande ni wa wapi?Brother chakula ni sehem ya utamaduni na ubunifu, mm pia nashangaaa watu wanaoweka parachichi na chumvi kwnye makande, watu wanaokula kichuli na watu wanaokula ugali kama chakula cha asubuhi!!
Kwa nini mnakula?Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.