Mipasho waachie akina mauzunde au ndio wewe?Nyie machogo wa bara kwani mnapika au mnakoroga
Ongeza mtindi, kandeKwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Kande za sukari zinanoga sanaOngeza mtindi, kande
Kwa kweli hata mimi sijawahi kuwaelewa
ππSafi nilikua natafuta wanaoweka kwenye mtindi. Nikahisi au ni Mimi tu ππ Enyi mnao weka sukari kwenye mtindi nani aliwafundisha? π₯π₯Ongeza mtindi, kande
Kwa kweli hata mimi sijawahi kuwaelewa
Watoto tu hao, wakikua wataachaKwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Na nyie machoko wazenj mnafanyaje?Nyie machogo wa bara kwani mnapika au mnakoroga
Tena si sukari tu na maziwa ya unga. Kama enzi za boarding tu, naendeleza gurudumu π π πWewe ndio mtu wa kwanza nasikia anaweka makande sukari!
Ili mradi vurugu tuKuna mmoja huyo anaweka sukari kwenye chai, aisee nashindwa kumuelewa
Aaaaaaaaahhhhh aunty kwelii πKuna watu wanaweka sukari hadi kwenye ...
INALAMBWA
Upumbavu mtupu..Sio matatizo
Maharage ukiweka sukari -huzuia ges
Tambi huongeza ladha