Sijawahi kuona mtu anaweka chumvi kwenye mtindi, watu huwa wanakunywa mtindi bila kuongeza chochote(plain) au kwa kuongeza sukari au asali. Hata yoghurt za asasi huwa zinawekwa sukari.Sioni kama kuna shida. Mimi huwa naweka sukari kwenye mtindi. Sioni tatizo lolote. Wewe mwenyewe itabidi tukushangae.
unapotafuta radha kwa kuchanganya vitu zingzang ndiyo chanzo cha kupata magonjwa ya ajabu ajabu.Kuna binadamu wanapenda taste za ajabu sana!
Tambi sugar+prestigesweery babe huwa unaweka nini??
Tambi za sukariYoda unashangaa kwenye tambi?
Bado hujakutana na wapishi wa usiku wanaweka asali mpk kwenye ββnoninoβ π
Daaah aisee sijawahi wekaga sugar kwenye tambi yaani napikaga very locally yaani ni maji, chumvi na mafuta baasi ππTambi sugar+prestige
Ulitia aibu UNGEKAZAA alaaaTambi za sukari
Heri nizimie njaa kuliko kula.
Kuna kipindi tulitoka kwenye fasting
Kuangalia ftari,ni tambi za sukari..naomba chumvi niweke,eti haipo,nilishindwa kula.
Sivungi Kwa vitu nisivyopendaUlitia aibu UNGEKAZAA alaaa
Beans bila kuweka Suger linaleta kiunguliaMipasho waachie akina mauzunde au ndio wewe?
Kwahiyo unawekaga sugar mmmhBeans bila kuweka Suger linaleta kiungulia
Nkamu mambo yβa pwani hayo ππTambi za sukari
Heri nizimie njaa kuliko kula.
Kuna kipindi tulitoka kwenye fasting
Kuangalia ftari,ni tambi za sukari..naomba chumvi niweke,eti haipo,nilishindwa kula.
Mkuu hizo ni mambo za kawaida sana.Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Ww nawe mada za hovyo unazipenda π€£Afu jamaa anakuwa anailamba π₯° wanawake mnafaidi sana aisee
πππ utajijuKumbe kuna walaji wa "nonino: huwa wanapenda kuuingiwa nonino kwa viungo mbalimbali, nilifikiri wote ni walaji raw! Sasa wakilamba wanameza au inakuaje??
Mishangazi mingi Akili huwa hamnagaKuna watu wanaweka sukari hadi kwenye ...
INALAMBWA
Wanawake mnafaidi sana aisee, kumbe kuna kulambwa bhana πWw nawe mada za hovyo unazipenda π€£
watu wa Pwani. "watu mdebwedo"Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Utamaduni wa wapi kivipi?? Nyie watu wa Bara na mapishi wapi na wapi nyie endeleeni kuchemsha kupika wachieni watu wa pwani, sisi tunashozea hususan mwez wa ramadhan Harage lazima Liwe ns sukari kwa chapati au maamli, tambi bila sukari mm nawashangaa mnakulaje,Utamaduni wa kuweka sukari katika maharage, tambi na makande ni wa wapi?