Wanaoyabeza kuyadharau maisha ya South Africa (SA) Astroway

Nimesomaa mwanzo mwisho lkn cjakuelewaaa unawezaa rudia tenaa kuandika upya mkuu,

Umekaa sana Tz- nyumbani ndugu toka kidogo nchi yeyote ilee ukaone mambo yanavyokuwa huko kisha tafuta tena uzi huu uusome tena.. utakuja kuuelewa sasa hivi bado mchanga sana wewe... karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…