Wanaoyabeza kuyadharau maisha ya South Africa (SA) Astroway

Miaka 3....umerudi na milioni 3 au ni milioni 30
Naona sijaelewa hii story ujumbe wako ni nini
Karudi na hela hata macho matatu ununui dah. Kijana bado hajatoka kiuchumi bora angekomaa nchini unenda angakuwa mbali
 
Safari ikishawadia... ntakutafuta tukashangae hata hizo hali za hewa za huko
 
Inanibidi ni deal na hawa hawa wachache wanao nielewa.. nielewane nao hawa wengine wasionielewa wataelewa tu huko mbele.. nikiwa mbunge au raisi wa nch
 
Safari ikishawadia... ntakutafuta tukashangae hata hizo hali za hewa za huko
Dogo huko unakoenda mimi uwa naenda kwenye mikutano mikubwa na kukaa hotel za 5 star ikiisha narudi. Enzi za JK nimetembea nchi 37 yakiwemo mataifa yote makubwa duniani (G 8). Nimesoma Degree ya pili Germany Gottingen University ambako ndio simu za mkononi zilipogunduliwa. Nina exposure ya kutosha mpaka usiku nikiota naota kwa lugha ya kiispaniola
 
Hongera sana mkuu kwa uthubutu kuna vijana wengi sana hapa bongo kwa muda wa zaidi ya miaka 5 hajawahi kuzichanga na kufikisha million 3 kwa pamoja

Shukrani.. mtakatifu... shukrani::: siongezi chochote zaidi ya shukrani ya mwisho
 
Sasa mkuu wewe utukutu wako hadi wazazi wakakushindwa ni upi?? Bangi na sigara huvuti, pombe hunywi, madawa haumo, ulikua unapenda sana chini au ulikua mwizi??

Lengo hasa la huu uzi wako ni lipi?? Umeandika mamb mengi mno ni dada zako kuolewa na mfumo dume?? Wewe kuja kuangalia cha kuwekezea na hiyo M.3 ?? Kuhamasisha vijana kujenga kwao??
Au ni kutufahamisha historia ya maisha yako?? Be specific somo lieleweke.
 
Dogo huko unakoenda mimi uwa naenda kwenye mikutano mikubwa na kukaa hotel za 5 star ikiisha narudi. Enzi za JK nimetembea nchi 37 yakiwemo mataifa yote makubwa duniani (G 8). Nimesoma Degree ya pili Germany Gottingen University ambako ndio simu za mkononi zilipogunduliwa. Nina exposure ya kutosha mpaka usiku nikiota naota kwa lugha ya kiispaniola

Sasa inabidi uchanganyike na watanzania wenzako wanaoishi maisha duni kabisa nchi kama hizo MKUU... maana wasaidizi kama nyie mnajipambanua kuwa lugha nzuri kiispaniola wakati ukishachangamana na sisi kajamba kulee MKUU ndio mwanzo wa kutupa chochote kama sio pesa kitusaidie hata mawazo nakushuri MKUU haujamaliza kwenda na kurudi nchi zote hizo ukienda panga ratiba yako vizuri ingia uswazi uwasaidie hata kwa mawazo vijana wadogo kama sie... MKUU USHANITISHA KAMA NTAKUWA NIMEKOSEA CHOCHOTE KUMRADH... sema tupo tunaohitaji msaada hata wa kutufundisha kuchora katuni
 
Sasa mkuu wewe utukutu wako hadi wazazi wakakushindwa ni upi?? Bangi na sigara huvuti, pombe hunywi, madawa haumo, ulikua unapenda sana chini au ulikua mwizi??

Lengo hasa la huu uzi wako ni lipi?? Umeandika mamb mengi mno ni dada zako kuolewa na mfumo dume?? Wewe kuja kuangalia cha kuwekezea na hiyo M.3 ?? Kuhamasisha vijana kujenga kwao??
Au ni kutufahamisha historia ya maisha yako?? Be specific somo lieleweke.

Hata huu nao unajitosheleza kabisa kuwa uzi (topic) tegemezi nimejifunza kitu hapo.. Asante sana bingwa kwa uzi mtamu hivyo
 
Karibuni sana wajameni
 
Natoa miongozo pia kama mtu anataka kwenda na hii ni first time... kutaka au kwenda huku
 
Back
Top Bottom