Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina na Mwenyez Mungu akufanyie wepesHii kwangu naweza nikatengeneza mil-800 kama naniliu juice alianza na mtaji wa elf 2 kasoro
Ya mtaji mbuzi tu wakuzugia... najua level zako ni ml-30 na kuendelea.. sikuwezi
Ingia kwenye udalali wa nyumba na viwanja...ili iongezeke then fungua na duka la vifaa vya ujenz..watu wanajenga sana saiviAmina amina... hapa unabidi unipe na mchanganuo niifanyie nini? Dua peke yake haitoshi .. mtakatifu
Nikajua utakua umeshatoboa kumbe bado Bora utupe stori ya mademu wa SA tu hizo 3M ulizotafuta kwa miaka mitatu huko kwa hapa bongo mbona ungeweza pia
Bora wewe umeamua kututoa kwenye siasa Job na Dadake na kutuleta kwenye mada pendwa za NITARUDI au ITAENDELEA...
Kuna jamaa mmoja alikuja kutupa stori za mademu wa SA nikataman sana nifike huko kwasababu hiyo tu maana aliwasifia haswaKwa upande wangu ni mwanzo mzuri sanaa.. kiongozi.. kuhusu ..mkorohonyi SA mademu ni sawa na bure sema wengi wao wamezaliwa na wanaishi na VVU... na wanaishi navyo na sio wachoyo kabsa.. watakutongoza wenyewe
Huyo na wewe hamna tofauti, mwenzako kajiunga juzi JF na kajitahidi sana kuandika ikiwa ni thread yake ya kwanza in short term ahahahaa...Nimesomaa mwanzo mwisho lkn cjakuelewaaa unawezaa rudia tenaa kuandika upya mkuu,
Huyo na wewe hamna tofauti, mwenzako kajiunga juzi JF na kajitahidi sana kuandika ikiwa ni thread yake ya kwanza in short term ahahahaa...