Wanaoyabeza kuyadharau maisha ya South Africa (SA) Astroway

Sasa hiyo si hela ya bia tu.
Labda useme umefurahi kuonana na familia.

Kwa wewe hata bia haitoshi.. kwangu ni pesa mzigo ambayo hata kuibeba kwa pamoja nashindwa
 

Doooh dala dala za kwa mpalange... ah ah ah
 
Umejitahidi mdogo angu kwa hicho ulichokipata pambana maisha yaendelee...

Asante sana mkuu.. kwa kunipa moyo .. shukrani sana sina cha kuongeza na haidi ntapambana zaidi INSHAALLAH [emoji1431]
 
Kwa wewe hata bia haitoshi.. kwangu ni pesa mzigo ambayo hata kuibeba kkwa pamoja nashindwa
Ubebe ya nini?hiyo dola 1000 tu.
Kuna kadi unaweza tumia kwa laki3
Kwasiku
ni hela utatumia wiki 2 tu.
Sasa hiyo hela ya kudiscuss kweli.
Tutafte hela sio kulalama lalama tu.
 
Ubebe ya nini?hiyo dola 1000 tu.
Kuna kadi unaweza tumia kwa laki3
Kwasiku
ni hela utatumia wiki 2 tu.
Sasa hiyo hela ya kudiscuss kweli.
Tutafte hela sio kulalama lalama tu.

Naendelea na harakati mkuu sijaacha kutafuta pesaa.. ila hongera sana kumbe tupo na MO-DEWJ humu jf na hatutambui mkuu jitambulishe basi usitutishie MO-DEWJ wa JamiiForums
 
Asante sana mkuu.. kwa kunipa moyo .. shukrani sana sina cha kuongeza na haidi ntapambana zaidi INSHAALLAH [emoji1431]
Wengi unaowaona wenye mafanikio walianzia chini usiwasikilize wapiga mbiu wanaokukatisha tamaa..
 
Naendelea na harakati mkuu sijaacha kutafuta pesaa.. ila hongera sana kumbe tupo na MO-DEWJ humu jf na hatutambui mkuu jitambulishe basi usitutishie MO-DEWJ wa JamiiForums
Endelea kutafuta kijana,hele la zpo mbele. Wengi tumepitia huko hatusemi tu.
Na mi ni mwenzio nimeelewa vizuri tu kwenye kutafuta.Sio Mo dewji.
Ila mama yangu aliwapiga kiingereza sana wao na watoto wa Nagji sgdani zamani sana.
So siwezi kuwa mo Dewji.
Kanuni ni tafuta linda maslahi familia inufaike.
Naishia hapo.
 

Shukrani mkuu... Asante sana
 

Midonge tena ? Au mimi ndio sijaelewa
 
pambana mzee, waliotoka familia duni watakuelewa vizuri...
hao wengine walevi achana nao muhimu unajua unachokifanya
 
Unajitangaza kwa 26m wakati watoto wa SA wanalipia kodi gari moja lenye mizigo 56m hapo Tunduma na karibu vijana wengi wana maroli ya mizigo...
Unaongopa ....

SA nzima Kuna wabongo takriban laki moja maximum , wanaofanya biashara za trucking hawafiki 30 na ni ma- alwatan. ..

Ninyi ndio mnaotoa "false hopes " na kufanya vijana wakimbilie South Africa na kuharibikiwa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…