Wanaozunguka nchi nzima kushawishi umma ukubaliane na mkataba mbovu wa DP World ndio hao hao watakaosema mama anaupiga mwingi tukiachana nao

Pascal Mayalla
Tunawasubiri kwa hamu
Mkuu Kiranja Mkuu , asante kuniita, nimekaribia
Hivi unajuwa nyerere aliipeleka wapi Tanganyika? Au ndiyo imeolewa ikapoteza jina lake kama wafanyavyo wagala?
Tanganyika ni kweli imeingia kwenye ndoa ya muungano, ila inampenda mwenzi wake kupindukia, ikalimega jina lake, kati ya 10 letters za jina la Tanganyika,
ikakubali kupoteza 3, letters g, y na k, na kungeza only one letter z kutoka kwa mwenza wake hivyo kugeuka Tanzania!.

Kikawaida ndoa nyingi ni muoaji ndio hutafuta mchumba, ila ndoa hii ni mchumba ndie alikuwa anatafuta kuposa, Tanganyika akaposa, akalipa mahari, harusi ikafungwa ile April 26, 1964, na ndoa imedumu imara mpaka sasa kwa kumhudumia mwenza kwa kila kitu, japo kuna wakati mwenza alisumbua aliomba ruhusa za vitu vya ajabu!, Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
P
 
Bangi unazovuta weee shangazi Mungu akuhurumie, akukate hizo kiu na madhila yake
Hapana, nilipachikwa tu Utanzania, mimi nimezaliwa Tanganyika, nimekulia Tanganyika, nimeanza kusoma Tanganyika. Akaja nyerere ghafla yu ananambia "wewe sasa Mtanzania".

Hivi unajuwa nyerere aliipeleka wapi Tanganyika? Au ndiyo imeolewa ikapoteza jina lake kama wafanyavyo wagala?
 
Tanganyika ni kweli imeingia kwenye ndoa ya muungano, ila inampenda mwenzi wake kupindukia, ikalimega jina lake, kati ya 10 letters za jina la Tanganyika,
ikakubali kupoteza 3, letters g, y na k, na kungeza only one letter z kutoka kwa mwenza wake hivyo kugeuka Tanzania!.

Kikawaida ndoa nyingi ni muoaji ndio hutafuta mchumba, ila ndoa hii ni mchumba ndie alikuwa anatafuta kuposa, Tanganyika akaposa, akalipa mahari, harusi ikafungwa ile April 26, 1964, na ndoa imedumu imara mpaka sasa kwa kumhudumia mwenza kwa kila kitu, japo kuna wakati mwenza alisumbua aliomba ruhusa za vitu vya ajabu!, Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
P
Huku twendako hii ndoa itavunjika. Maana hawa wengine hawathamini kabisa rasilimali zetu na wanazichezea kadiri watakavyo
 
No ndoa hii kamwe haivunjiki, hii ni ndoa ya mseto ya mume mmoja, mke mmoja ila makazi mawili kwa mke kuja kwa mume kutimiza majukumu ya ndoa na huku kuruhusiwa kuendelea kuishi kwa wazazi wake kwa majukumu yake binafsi.

Tunakokwenda tumependekeza huu utaratibu wa nyumba mbili ni changamoto, tumeshauri iwe nyumba moja tuu Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?

Kwanini Watanganyika ni marufuku kumiliki ardhi Zanzibar ila wazungu wanaruhusiwa?
 
Mbona una chuki sana na Nyerere? Alikutenda nini kibaya kimekuacha na trauma?
Mshenzi tu huyo,
Mwl Nyerere kasema mbaya,
Magufuli mbaya,
hadi huyo Samia kashawai sema hapa mubaya.
Huyu ni shabiki wa waarabu huko Dubai mambo ya mkataba mtajua nyinyi.
Huyo aliwai kuwa housegirl huko na nafkiri walimtoboa sana tundu la Choo
ndo mana anawaona hao miungu watu kumbe ni wapuuzi fulani tu.
 
Mkuu Kiranja Mkuu , asante kuniita, nimekaribia

Tanganyika ni kweli imeingia kwenye ndoa ya muungano, ila inampenda mwenzi wake kupindukia, ikalimega jina lake, kati ya 10 letters za jina la Tanganyika,
ikakubali kupoteza 3, letters g, y na k, na kungeza only one letter z kutoka kwa mwenza wake hivyo kugeuka Tanzania!.

Kikawaida ndoa nyingi ni muoaji ndio hutafuta mchumba, ila ndoa hii ni mchumba ndie alikuwa anatafuta kuposa, Tanganyika akaposa, akalipa mahari, harusi ikafungwa ile April 26, 1964, na ndoa imedumu imara mpaka sasa kwa kumhudumia mwenza kwa kila kitu, japo kuna wakati mwenza alisumbua aliomba ruhusa za vitu vya ajabu!, Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
P
Sijawahi kiusikia ndoa ya mwanamme na mwanamme Afrika hii. Huu muungano ulikuwa baina ya watu wawili, nyerere na karume.

Nani mwengine alishauriwa? Unataka kusema posa alipelekewa karume, akaolewa?

Matusi hayo.
 
Back
Top Bottom