Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Kitenge huyuhuyu ndiye alikuwa anaponda ufanisi mbovu wa bandari, leo anasema wamepata tuzo. Sisiemu waache u ndumilakuwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitenge huyuhuyu ndiye alikuwa anaponda ufanisi mbovu wa bandari, leo anasema wamepata tuzo. Sisiemu waache u ndumilakuwili
Mkuu Kiranja Mkuu , asante kuniita, nimekaribiaPascal Mayalla
Tunawasubiri kwa hamu
Tanganyika ni kweli imeingia kwenye ndoa ya muungano, ila inampenda mwenzi wake kupindukia, ikalimega jina lake, kati ya 10 letters za jina la Tanganyika,Hivi unajuwa nyerere aliipeleka wapi Tanganyika? Au ndiyo imeolewa ikapoteza jina lake kama wafanyavyo wagala?
Hapana, nilipachikwa tu Utanzania, mimi nimezaliwa Tanganyika, nimekulia Tanganyika, nimeanza kusoma Tanganyika. Akaja nyerere ghafla yu ananambia "wewe sasa Mtanzania".
Hivi unajuwa nyerere aliipeleka wapi Tanganyika? Au ndiyo imeolewa ikapoteza jina lake kama wafanyavyo wagala?
nasikia kwao marehemu nyerere, bangi ni mboga. Kweli?Bangi unazovuta weee shangazi Mungu akuhurumie, akukate hizo kiu na madhila yake
Huku twendako hii ndoa itavunjika. Maana hawa wengine hawathamini kabisa rasilimali zetu na wanazichezea kadiri watakavyoTanganyika ni kweli imeingia kwenye ndoa ya muungano, ila inampenda mwenzi wake kupindukia, ikalimega jina lake, kati ya 10 letters za jina la Tanganyika,
ikakubali kupoteza 3, letters g, y na k, na kungeza only one letter z kutoka kwa mwenza wake hivyo kugeuka Tanzania!.
Kikawaida ndoa nyingi ni muoaji ndio hutafuta mchumba, ila ndoa hii ni mchumba ndie alikuwa anatafuta kuposa, Tanganyika akaposa, akalipa mahari, harusi ikafungwa ile April 26, 1964, na ndoa imedumu imara mpaka sasa kwa kumhudumia mwenza kwa kila kitu, japo kuna wakati mwenza alisumbua aliomba ruhusa za vitu vya ajabu!, Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
P
Mbona una chuki sana na Nyerere? Alikutenda nini kibaya kimekuacha na trauma?nasikia kwao marehemu nyerere, bangi ni mboga. Kweli?
No ndoa hii kamwe haivunjiki, hii ni ndoa ya mseto ya mume mmoja, mke mmoja ila makazi mawili kwa mke kuja kwa mume kutimiza majukumu ya ndoa na huku kuruhusiwa kuendelea kuishi kwa wazazi wake kwa majukumu yake binafsi.Huku twendako hii ndoa itavunjika. Maana hawa wengine hawathamini kabisa rasilimali zetu na wanazichezea kadiri watakavyo
Kwanini Watanganyika ni marufuku kumiliki ardhi Zanzibar ila wazungu wanaruhusiwa?No ndoa hii kamwe haivunjiki, hii ni ndoa ya mseto ya mume mmoja, mke mmoja ila makazi mawili kwa mke kuja kwa mume kutimiza majukumu ya ndoa na huku kuruhusiwa kuendelea kuishi kwa wazazi wake kwa majukumu yake binafsi.
Tunakokwenda tumependekeza huu utaratibu wa nyumba mbili ni changamoto, tumeshauri iwe nyumba moja tuu Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
P
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo!, alifuta udini, ukanda na ukabila, kwa kufuta u Chifu, na kuivunja taasisi fulani akiitwa EAMWSMbona una chuki sana na Nyerere? Alikutenda nini kibaya kimekuacha na trauma?
Kwanini Balukta ilifutwa ikabakizwa Bakwata chombo ambacho waislam wanasema si cha kwao ila cha CCM?Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo!, alifuta udini, ukanda na ukabila, kwa kufuta u Chifu, na kuivunja taasisi fulani akiitwa EAMWS
P
Sio kweli, Ardhi ya Zanzibar ni kwa Wanzanzibari wakaazi tuu, ila wageni akiwemo Mtanganyika na Mzungu wanamiliki ardhi kama wawekezaji.Kwanini Watanganyika ni marufuku kumiliki ardhi Zanzibar ila wazungu wanaruhusiwa?
Kwanini wao waruhusiwe kumiliki ardhi yetu iwapo tu kwenda kwao kama huna kitambulisho huingii?Sio kweli, Ardhi ya Zanzibar ni kwa Wanzanzibari wakaazi tuu, ila wageni akiwemo Mtanganyika na Mzungu wanamiliki ardhi kama wawekezaji.
P
Ilikuwa inaleta uchochezi kama huu unaoletwa na TEC kwenye issue ya DPW na Bandari zetu.Kwanini Balukta ilifutwa ikabakizwa Bakwata chombo ambacho waislam wanasema si cha kwao ila cha CCM?
No sii kweli, mtu huhitaji kitambulisho kuingia Zanzibar!.Kwanini wao waruhusiwe kumiliki ardhi yetu iwapo tu kwenda kwao kama huna kitambulisho huingii?
Pascal Mayalla bila kitambulisho huingii znz, kiwe cha kura, leseni, nida au passport.No sii kweli, mtu huhitaji kitambulisho kuingia Zanzibar!.
P
Kwa hiyo unashauri serikali ilifutie Baraza la Maaskofu usajili?Ilikuwa inaleta uchochezi kama huu unaoletwa na TEC kwenye issue ya DPW na Bandari zetu.
P
Duh...!.Pascal Mayalla bila kitambulisho huingii znz, kiwe cha kura, leseni, nida au passport.
Nyie watu wazito ndio huwa mnapita bila kuulizwa
Mshenzi tu huyo,Mbona una chuki sana na Nyerere? Alikutenda nini kibaya kimekuacha na trauma?
sawa mkuna nazi na Njiwa wa Pemba.Mimi ni mtanzania na ninaunga mkono mkataba wa DP WORLD....huna nguvu ya kunifutia uraia wangu [emoji1787]
Sijawahi kiusikia ndoa ya mwanamme na mwanamme Afrika hii. Huu muungano ulikuwa baina ya watu wawili, nyerere na karume.Mkuu Kiranja Mkuu , asante kuniita, nimekaribia
Tanganyika ni kweli imeingia kwenye ndoa ya muungano, ila inampenda mwenzi wake kupindukia, ikalimega jina lake, kati ya 10 letters za jina la Tanganyika,
ikakubali kupoteza 3, letters g, y na k, na kungeza only one letter z kutoka kwa mwenza wake hivyo kugeuka Tanzania!.
Kikawaida ndoa nyingi ni muoaji ndio hutafuta mchumba, ila ndoa hii ni mchumba ndie alikuwa anatafuta kuposa, Tanganyika akaposa, akalipa mahari, harusi ikafungwa ile April 26, 1964, na ndoa imedumu imara mpaka sasa kwa kumhudumia mwenza kwa kila kitu, japo kuna wakati mwenza alisumbua aliomba ruhusa za vitu vya ajabu!, Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
P