Wanaphysics mtuelezee kwanini zile "coil za vhuma" zinavyosafirishwa kwenye Semi zinasimamishwa badala ya kulazwa?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Hizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
1948.jpg

Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.

Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.
 
Yale macoil ni mazito sana kuna hadi ya tani 15 sasa jinsi ya kuyabeba yakiwa yalelala ndio changamoto focklift special za kubeba roller hazina uwezo wa kubeba zile coil so kama wanapakia na kupakua kwa kutumia belt inayopitishwa katikati itawabidi wasimamishe
 
Hizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
View attachment 3701711
Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.

Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.
Si lazima coils zote zisafirishwe zikiwa zimesimama. Baadhi husafirishwa zikiwa zimelala (eye-to-sky), kutegemea uzito, ukubwa, aina ya trela na mfumo wa kuzifunga.
Japokuwa eye to eye ndio prerable zaidi kutokana na (i)upangiliaji wa mzigo uli kusambaza uzito kwenye trela kulingana na muundo wake. (ii) Kuepusha kuharibu kingo, zinapolazwa(iii) Kurahisisha upakuaji na upakiaji kupitia tundu la katikati kwa kutumia cranes na forklifts(iv)Kupunguza hatari ya kuviringika/kusogea ili kuhakikisha usalama. (v) nimeandika nikiwa na keupe...
 
hivi ndivyo zinabebwa huko kiwandani sasa ukiilaza kuinyanyua hizi mashine haziwezi fanya iyo kazi
 
Attachments

  • overhead-crane-lift-up-steel-coil-with-tong-in-warehouse-steel-coils-handling-equipment-steel-...jpg
    overhead-crane-lift-up-steel-coil-with-tong-in-warehouse-steel-coils-handling-equipment-steel-...jpg
    175.6 KB · Views: 2
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    45.5 KB · Views: 3
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    30.7 KB · Views: 2
  • images (11).jpeg
    images (11).jpeg
    40.2 KB · Views: 1
Si lazima coils zote zisafirishwe zikiwa zimesimama. Baadhi husafirishwa zikiwa zimelala (eye-to-sky), kutegemea uzito, ukubwa, aina ya trela na mfumo wa kuzifunga.
Japokuwa eye to eye ndio prerable zaidi kutokana na (i)upangiliaji wa mzigo uli kusambaza uzito kwenye trela kulingana na muundo wake. (ii) Kuepusha kuharibu kingo, zinapolazwa(iii) Kurahisisha upakuaji na upakiaji kupitia tundu la katikati kwa kutumia cranes na forklifts(iv)Kupunguza hatari ya kuviringika/kusogea ili kuhakikisha usalama. (v) nimeandika nikiwa na keupe...
Msalimie Keupe
 
😁 Kwahiyo uko na min -me
 
Hizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
View attachment 3701711
Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.

Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.
Space occupied is smaller when laid by side compared when upright ....au vipi unataka ubebe vingi
 
Back
Top Bottom