Halafu hiyo semi yako ni powerful sana, nyingi zinaweza kupakia 3 au 4 mwisho, mbaya zaidi zikikata chain zinaua maana zina roll zinapitia hicho kichwa kinakuwa chapatiHizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
View attachment 3701711
Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.
Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.
hili ndo jibu hakuna physics hapoZikilala ubavu zitapondeka zile kingo/wembamba wa bati
Kwanini wasizi cussion kwa namna fulani (kuziwekea mbao au rubber) alimradi tu kuziongezea stabilityKuepusha kuharibu kingo, zinapolazwa
Hivi zinapelekwa wapi na kwa matumizi ganiNasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.
That can be explained by physicshili ndo jibu hakuna physics hapo
Hizo coil zikiwa nyingi ni zile ndogo za kutengenezea mabati ambazo nyingi zinakuja na uzito wa tani 3 mpk 9. Hizo zinakuja na option za Painted,Unipainted,Galvanised na non galvanised kutokana na kiwanda cha bati wanataka watoe bidhaa ipi.Halafu hiyo semi yako ni powerful sana, nyingi zinaweza kupakia 3 au 4 mwisho, mbaya zaidi zikikata chain zinaua maana zina roll zinapitia hicho kichwa kinakuwa chapati
Asante sana umenifundisha jamboHizo coil zikiwa nyingi ni zile ndogo za kutengenezea mabati ambazo nyingi zinakuja na uzito wa tani 3 mpk 9. Hizo zinakuja na option za Painted,Unipainted,Galvanised na non galvanised kutokana na kiwanda cha bati wanataka watoe bidhaa ipi.
Pia zipo kubwa za kuanzia tani 6 mpaka 15 kwa coil 1. Hizi bati zake pana ndio zinatumika kutengeneza mageti,body za magari,milango na kwenye ujenzi.Asante sana umenifundisha jambo
Barikiwa sana ndugu yanguPia zipo kubwa za kuanzia tani 6 mpaka 15 kwa coil 1. Hizi bati zake pana ndio zinatumika kutengeneza mageti,body za magari,milango na kwenye ujenzi.
Hizi zina grade 2, Cold Rolled Steel Coils (CRC) na Hot Rolled Steel Coils (HRC) kulingana na process za utengenezaji kiwandani.
Kila coil inakuwa na utambulisho wa namba yake na haziingiliani.
Kusafirisha hizo coils nafikiri ndio hatari zaidi kuliko kila kitu
Huwa nikipita karibu nao huwa najiuliza maswali mengi sana.
Kuwekwa hivyo naona ni rahisi zaidi kwa kuyafunga na minyororo ya chuma na hata kuweka vizuizi kwa mbele na nyuma
Cussion ni kitu gani? Ama una maanisha cushion? Kama ni hivyo, ukiweka mbao zinaweza kupasuka kutokana na uzito mkubwa, hizo steel coil zina uzito mkubwa ama ukituweka rubber zitaongeza msuguano sana sana wakati lori liposhika breki hivyo kufanya coil kusogea!Kwanini wasizi cussion kwa namna fulani (kuziwekea mbao au rubber) alimradi tu kuziongezea stability
Hatari maana yake inauwa kama usipozifunga vizuriSio kitu hatar bhana sema unakaa mbali na barabara
Kuna kitu kinaitwa sumu za migodin zile gari hata kupark zinajitenga
1. Mabati.Hivi zinapelekwa wapi na kwa matumizi gani