Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kupunguza nguvu ya mgandamizoInahitajika akili ya mtu wa Physics kweli hapa?Shughulisha ubongo wako walau kidogo mkuu.
Kupunguza nguvu ya mgandamizoInahitajika akili ya mtu wa Physics kweli hapa?Shughulisha ubongo wako walau kidogo mkuu.
Zile chemical(Hazard Cargo) ni hatari sana hizo coil zinakuwa hatari zisipofungwa na breki za ghafla.Sio kitu hatar bhana sema unakaa mbali na barabara
Kuna kitu kinaitwa sumu za migodin zile gari hata kupark zinajitenga
Saizi hakuna haja ya kuwaza kufunga CIMC wana special trailer wanatengeneza kwa ajili ya kubeba Coil.Pia Bhachu kenya wanazichonga hizo trailerHatari maana yake inauwa kama usipozifunga vizuri
Ukifunga break ghafla ndio hatari yake hiyo
Ubarikiwe sana kwa somo hili1. Mabati.
Steel coil hukatwa na kupitishwa kwenye mashine maalumu kutengeneza mabati ya kawaida na ya kisasa.
View attachment 3701842
2.Mabomba ya chuma
Hutumika kutengeneza mabomba ya maji, miundombinu na matumizi ya viwandani.
View attachment 3701843
3.Milango na fremu
Hutengeneza fremu za milango, madirisha na bidhaa za ujenzi.
View attachment 3701848
4.Magari
Hutumika kutengeneza sehemu za body za magari na vipande vingine vya chuma.
View attachment 3701849
5.Samani za chuma
Makabati, meza, rafu(shelf) na vifaa vya ofisini.
View attachment 3701850
🙏🙏👍Cussion ni kitu gani? Ama una maanisha cushion? Kama ni hivyo, ukiweka mbao zinaweza kupasuka kutokana na uzito mkubwa, hizo steel coil zina uzito mkubwa ama ukituweka rubber zitaongeza msuguano sana sana wakati lori liposhika breki hivyo kufanya coil kusogea!
Lakini pia ukifanya hayo ni kuongeza gharama.
...hayo uliyosema si kwamba wataalam hawajui, ila tafiti zimefanyika!
...Kiufupi usitafute shida kwenye raha.
Ukiilaza huwezi kuishusha kirahisi.. Wanasimami ili wakati wa kushuka wanatumia mashine yenye boro (Coil Ram attachment ambao inawekwa kwenye forklift) .. Wananyanyua na kushusha. Sababu ni mzigo mzito.Hizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
View attachment 3701711
Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.
Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.
Kama una fleet ni lazima uwe na flatbed pia maaan madili ni mengiSaizi hakuna haja ya kuwaza kufunga CIMC wana special trailer wanatengeneza kwa ajili ya kubeba Coil.Pia Bhachu kenya wanazichonga hizo trailer
Transporter wengi hawataki trailer ya kazi moja. Wanataka multipurpose trailer ambayo ni flat bed ili wakipata kazi tofauti watumie.
Siku Tanzania itakapozalisha japo products za level hii badala ya kuagiza angalau itastahili kujiita nchi ya viwanda japo vya kati!Pia zipo kubwa za kuanzia tani 6 mpaka 15 kwa coil 1. Hizi bati zake pana ndio zinatumika kutengeneza mageti,body za magari,milango na kwenye ujenzi.
Hizi zina grade 2, Cold Rolled Steel Coils (CRC) na Hot Rolled Steel Coils (HRC) kulingana na process za utengenezaji kiwandani.
Kila coil inakuwa na utambulisho wa namba yake na haziingiliani.
Tutakuwa mbali sana,maana soko la ndani na nje ni kubwa. Nchi zote majirani wanaagiza chuma kutoka China,India na South AfricaSiku Tanzania itakapozalisha japo products za level hii badala ya kuagiza angalau itastahili kujiita nchi ya viwanda japo vya kati!
Safu za vyuma au rola za chuma (ambazo mara nyingi hufahamika kama steel coils au kwa jina la utani la kiusalama kama "widow makers") husafirishwa zikiwa zimelala (kwa mfumo wa eye-to-side au horizontal kama inavyoonekana kwenye picha) badala ya kusimamishwa kwa sababu kadhaa za kiufundi na kiusalama:Hizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
View attachment 3701711
Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.
Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.