Wanaphysics mtuelezee kwanini zile "coil za vhuma" zinavyosafirishwa kwenye Semi zinasimamishwa badala ya kulazwa?

Sio kitu hatar bhana sema unakaa mbali na barabara

Kuna kitu kinaitwa sumu za migodin zile gari hata kupark zinajitenga
Zile chemical(Hazard Cargo) ni hatari sana hizo coil zinakuwa hatari zisipofungwa na breki za ghafla.

Sulphur,Sodium Cyanide,Amoniam Nitrate(HDAN&LDAN) kuna chemical ukikaa karibu na truck zinafanya ushindwe kupumua vizuri. Granular Suphur ukikaa karibu nguo mpaka jasho lako litanuka sulphur
 
Hatari maana yake inauwa kama usipozifunga vizuri
Ukifunga break ghafla ndio hatari yake hiyo
Saizi hakuna haja ya kuwaza kufunga CIMC wana special trailer wanatengeneza kwa ajili ya kubeba Coil.Pia Bhachu kenya wanazichonga hizo trailer

Transporter wengi hawataki trailer ya kazi moja. Wanataka multipurpose trailer ambayo ni flat bed ili wakipata kazi tofauti watumie.
 
Ubarikiwe san
Ubarikiwe sana kwa somo hili
 
🙏🙏👍
 
Hizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
View attachment 3701711
Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.

Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.
Ukiilaza huwezi kuishusha kirahisi.. Wanasimami ili wakati wa kushuka wanatumia mashine yenye boro (Coil Ram attachment ambao inawekwa kwenye forklift) .. Wananyanyua na kushusha. Sababu ni mzigo mzito.

 
Kama una fleet ni lazima uwe na flatbed pia maaan madili ni mengi
Unaweza ukapeleka cement mikoani ukarudi na mazao
 
Siku Tanzania itakapozalisha japo products za level hii badala ya kuagiza angalau itastahili kujiita nchi ya viwanda japo vya kati!
 
Siku Tanzania itakapozalisha japo products za level hii badala ya kuagiza angalau itastahili kujiita nchi ya viwanda japo vya kati!
Tutakuwa mbali sana,maana soko la ndani na nje ni kubwa. Nchi zote majirani wanaagiza chuma kutoka China,India na South Africa
 
Hizi dude kwanini wasiwe wanazilaza chali zikiwa kwenye bed ya semi?
View attachment 3701711
Nasikia wanaziita widow maker, moja ya cargo hatari kuisafirisha.

Kwenye tittle nimeandika vhuma badala ya chuma. Mods ikiwapendenza watachange.
Safu za vyuma au rola za chuma (ambazo mara nyingi hufahamika kama steel coils au kwa jina la utani la kiusalama kama "widow makers") husafirishwa zikiwa zimelala (kwa mfumo wa eye-to-side au horizontal kama inavyoonekana kwenye picha) badala ya kusimamishwa kwa sababu kadhaa za kiufundi na kiusalama:

Kitovu cha Uzito (Center of Gravity): Rola hizi huwa na uzito mkubwa sana (mara nyingi tani kadhaa). Zikiwa zimelala juu ya kitanda cha lori, kitovu cha uzito kinakuwa chini, jambo linalofanya lori liwe na utulivu mzuri zaidi wakati linatembea, hasa kwenye kona au wakati wa kusimama ghafla.
Hatari ya Kupinduka na Kuanguka: Kama zingesimamishwa wima, eneo la msingi la kugusa na lori lingekuwa dogo sana. Wakati lori linapitia kwenye njia zisizo sawa au kona kali, nguvu za mzunguko zingeweza kuzifanya zisimame kwa muda halafu zikapinduka au zikakatisha minyororo na kuanguka barabarani, jambo ambalo ni hatari kubwa kwa usalama wa barabarani (ndiyo maana zilipewa jina hilo la kutisha la widow maker).
Uwezo wa Kufungwa Imara (Securing/Lashings): Zikiwa zimelala gorofani kwenye trela, ni rahisi zaidi kupitisha minyororo mizito, kamba za chuma, na kuweka vielekezi vya mbao (wedges/dunnage) chini yake ili kuzuia zisisonge mbele, nyuma, au pembeni wakati wa safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…