Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Hata top ten tumekosekana

Simbu kashika nafasi ya 17. Amejitahidi sana kwa hii support aliyopewa ya kisiasa
 
Kwakweli hii mijengo na mitaa ya huko paris ni kielelezo cha ukwasi huko na kinatupa picha kwamba sisi huku tunaishi kwenye vibanda
Marathon
Ufaransa ndiyo wezi wakubwa wa rasilimali za Africa, hasa Africa Mangaribi! Kwa hiyo usishangae.sana, ila Wa Africa nao wameamka na kuaanza kuwafukuza Wafaransa kwo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…