Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza siasa mkuu.Swala liko kwenye maandalizi,wackimbiaji wetu wameenda Paris lini?na wakenya wameenda lini?kuwahi kuwa eneo la tukio nako kunachangaia kumfanya mkimbiaji azoee mazingira...
Kwa Olympic hakuna Hawa wote ni program ukiangalia utaona wameanzia chini kabisa na si huku chini kabisa ni shule asubuhi hadi 12 jioni na shule hakuna kucheza ni kukaliri table na kusoma physicsMashindano gani bongo tunaweza kuchukua medali🤣
Ile kumaliza kumaliza tu anahitaji pongezi. Marathon siyo mchezo.Kwani yule mwingine kashika namba ngapi?
Vyovyote vile Simbu kajitahidi, kuna mashindano mengine wakati mwingine.
Ukweli mchunguSasa ni muda wa watanzania kusahau yote. Na baada ya miaka minne kustuka tena tuna wawakilishi 5 tu🤣
I am going there before this year ends.Paris paris paris paris !!!!
How many times did I call you!
Your beauty mesmerize me..
I will always choose paris over Dubai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ni muda wa watanzania kusahau yote. Na baada ya miaka minne kustuka tena tuna wawakilishi 5 tu[emoji1787]
Maandalizi...budget ya michezo inaendaga wapi? Lile fungu la Korea wangepushiwa Hawa tungepata medal...simbu maandaliz yake ni hafifu..wenzie waliwahi Paris wanafanya mazoezi na makocha wa ukweliTatizo la watanzania ni kwenye finishing. Pale mwishoni kwenye kumaliza mbio kuna kitu kinaitwa KICK.. yaani inatakiwa atumie nguvu zake zote kukimbia kwa kasi ili amalize nafasi nzuri. Wabongo wengi hawawezi. Simbu angekuwa namba 7 ila nguvu za kumaliza mbio akawa hana.