Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Nyumba nyingi za uko zina structure za kizaman na imara , zimepangiliwa vizuri sana kwenye barabara na upandaji wa miti.
Kuna bustan za Enlightment Back zinadunda
.Kuna miferji safi na boti zinakatiza tu
 
Nchi nayo inaplay part yake ipasavyo? Kama ndiyo sawa
Kwa upande wa serikali kuu naona hakuna tatizo sana. Tatizo lipo kwenye kamati ya olimpiki. Unajua ili mwanariadha aweze kushiriki Olympic lazima awe ameshiriki mbio za kimataifa zinazotambulika na chama cha riadha cha dunia na kufikisha muda unaotakiwa ili kufuzu kushiriki Olympic. Sasa hapa Tanzania kuna utitiri wa marathon za kuchochea umalaya zisizotambulika kimataifa. Ukitoa Kilimanjaro Marathon hayo mashindano mengine ni ya kujifurahisha. Kamati ya Olympic ingepambana angalau marathon hata 3 zitambulike kimataifa ili vijana wakishiriki wapambane haswa kufikisha vigezo. Kupata muda mzuri kwenye Kilimanjaro Marathon ni ngumu sana kutokana na hali ya hewa na ile milima.
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Hizo kamati zinasimamiwa na nani na kufatiliwa na nani kama sio wizara we kichwa maji...huyo waziri alienda kufanya nini huko Paris kama hahusiki na haya mambo...acheni ushamba na uchawa kwenye mambo ya msingi
 
Unadhani serikali inaingilia tu kiholela mambo ya michezo? Wewe baki kwenye siasa za kinyumbu. Kwenye riadha hujui kitu.
 
Kwa upande wa serikali kuu naona hakuna tatizo sana. Tatizo lipo kwenye kamati ya olimpiki. Unajua ili mwanariadha aweze kushiriki Olympic lazima awe ameshiriki mbio za kimataifa zinazotambulika na chama cha riadha cha dunia na kufikisha muda unaotakiwa ili kufuzu kushiriki Olympic. Sasa hapa Tanzania kuna utitiri wa marathon za kuchochea umalaya zisizotambulika kimataifa. Ukitoa Kilimanjaro Marathon hayo mashindano mengine ni ya kujifurahisha. Kamati ya Olympic ingepambana angalau marathon hata 3 zitambulike kimataifa ili vijana wakishiriki wapambane haswa kufikisha vigezo. Kupata muda mzuri kwenye Kilimanjaro Marathon ni ngumu sana kutokana na hali ya hewa na ile milima.
Shida hapo ni kutaka kuitetea serikali
 
Kwahyo tunaludi kesho? Mbona tumeenda juzi?
Ccm hawajali,inabidi turudi tu.Simbu hadi kilometa 30 alikuwa ndani ya top five.Baadaye niliona pumzi I me kat a hadi mwisho da 17.Yule Eliud Kipchoge na Keninisa Bekele nyakati zao zimeisha
 
wanawezaje kukimbia hivyo??huyo Sumbi kajitahidi jamani anastahili pongezi kubwaa
 
Back
Top Bottom