Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Nimependa spirit ya wazungu mpaka wa mwisho wanampigia makofi ingekuwa uku kwetu wangekuwa wanatoa matusi tu
 
Nimependa spirit ya wazungu mpaka wa mwisho wanampigia makofi ingekuwa uku kwetu wangekuwa wanatoa matusi tu
Wana appreciate juhudu za mtu.

Kumbuka Akwari alikua wa mwisho mwaka 1968 Mexico city olimpiki lakini alipofika tu alishangiliwa na kila mtu.
 
Paris paris paris paris !!!!
How many times did I call you!
Your beauty mesmerize me..
I will always choose paris over Dubai
20240810_113650.jpg
20240810_112741.jpg
 
Sio masihara marathon Mmongolia ana miaka 42 kamaliza, ila watu kadhaa hawajafika finish line
Screenshot_20240810_114718_Chrome.jpg
 
Kwa Olympic hakuna Hawa wote ni program ukiangalia utaona wameanzia chini kabisa na si huku chini kabisa ni shule asubuhi hadi 12 jioni na shule hakuna kucheza ni kukaliri table na kusoma physics
Hata Simbu kaanzia chini. Wa pili kushoto. Mwaka 2007
 

Attachments

  • Shoe4AFrica_Tanzania_2003s (1).jpg
    Shoe4AFrica_Tanzania_2003s (1).jpg
    162.1 KB · Views: 2
Nimependa tu jinsi miti imepandwa kando ya barabara
Hili hata kwetu linawezekana kabisa highways zote kupambwa kwa miti ya vivuli
 
Ni wa wapi huyu mshikaji? Kwa nini hamalizi mashindano?
Ni wa Arusha. Mastaa wengi wakiona watamaliza kwa namba zenye aibu huwa hawamalizi. Hata Kipchoge hajamaliza. Geay kwenye Marathon ni staa wa dunia sema akiwa bongo anachukuliwa kama mwananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom