Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Hii ndio marathon ya mwisho kwa Bekele na Kipchoge bila shaka...
 
LEO, saa 3:30 asubuhi sehemu ya wanariadha watakaokimbia katika Olympics wamo Watanzania pia Alphonce Felix Simbu na Gabriel Gerald Geay

Mashindano haya Olympic yanaruka mbashara kupitia #ZBC2

#Olympic #Olympicgame #Paris
A.F.SIMBU kamaliza wa 17
 
Daah hivi shida ni nini aise, kule kwa waogeleji bibie kashika mkia kabisa, huku nako simbu katupa matuamini mara puu paaa yule wa 17.

Hapo hutoona mwanasiasa akiwatia moyo, angeshinda ungeona wamejazana airport kuwasubiri na mabango yao ya mama, wanakera.
 
Duh kapambana lakini ndio hivyo
20240810_111123.jpg
20240810_111122.jpg
 
Simbu hadi kilomita 39 alikua wa 3, kilomita 3 tu kama wa 17, duh
Tatizo la watanzania ni kwenye finishing. Pale mwishoni kwenye kumaliza mbio kuna kitu kinaitwa KICK.. yaani inatakiwa atumie nguvu zake zote kukimbia kwa kasi ili amalize nafasi nzuri. Wabongo wengi hawawezi. Simbu angekuwa namba 7 ila nguvu za kumaliza mbio akawa hana.
 
Swala liko kwenye maandalizi,wackimbiaji wetu wameenda Paris lini?na wakenya wameenda lini?kuwahi kuwa eneo la tukio nako kunachangaia kumfanya mkimbiaji azoee mazingira...
 
Back
Top Bottom