Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

mtz lowassa yuko vizurii
FB_IMG_1723296893968.jpg
 
Siku hii nchi ikiacha mambo ya upendeleo na kujuana ndo hiyo siku itapiga hatua kimichezo.
 
Leo Women Marathon nimeona wadada wa kiTanzania wapo
 
MTanzania anashika nafasi ya 2 huyo mwenye light blue
 

Attachments

  • 20240811_095453.jpg
    20240811_095453.jpg
    4.4 MB · Views: 2
Back
Top Bottom