Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Hali ikoje kwa watanzania? Huku Tanesco kama kawaidaHalf way...21km
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ikoje kwa watanzania? Huku Tanesco kama kawaidaHalf way...21km
Anakaza sana, apambane tu..Hali ikoje kwa watanzania? Huku Tanesco kama kawaida
Mdada bado yuko kundi la waongozajiHali ikoje kwa watanzania? Huku Tanesco kama kawaida
PoleniView attachment 3066617 Naona Olympic tulioahidiwa na Azam Tv baada ya kutupandishia Bei za vifurishi inaendelea live kupitia ZBC 2 na imeanza saa Tatu asubuhi hadi saa tisa jioni. Ila wakumbuke haya mahudhui tunalipia wasitulishe vitu ambavyo hatutaki. Kwa nini wanachsnganya maudhui ya kidini na maudhui ya michezo? Chanell za kidini zijitegemee ili Kila mtu afungue at his own risk. Sio unaahidi watu kuwa kipindi Fulani Cha michezo kitakuwa channel gani halafu unafungulia mahubiri ya dini yako
Mtafuteni hadi mumpateSimbu keshapotea
Huenda moto umekata au kapotea zake mitini.MTanzania hata hawamuonyeshi tena. Sijui yuko wapi
Ngoja naendelea kuangalia. NitawaambiaHuenda moto umekata au kapotea zake mitini.
Gold Sufian Hassan ni MholanziMfaransa kashinda gold
Ethiopia kashinda silver
Mkenya kabeba bronze