bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,141
- 1,294
mtz lowassa yuko vizurii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sijafanikiwa kuwaona kila la kheri kwao.
Wapo wawili wamevaa light blue top. Wapo leading groupBado sijafanikiwa kuwaona kila la kheri kwao.
Leo sisemi kitu nasubiri kuanzia 35kmSijui watatoboa au ni Yale Yale ya Simbu kuwa pacemaker
Kabisa maana unaweza weka matumaini Kisha ukaishia kukata tamaaLeo sisemi kitu nasubiri kuanzia 35km
Nimemuona mmoja yupo kundi la wanao ongozaWapo wawili wamevaa light blue top. Wapo leading group
Akaze akazeMTanzania anashika nafasi ya 2 huyo mwenye light blue
Kuna jamaa kaninong'oneza hapa kuwa ni alama wizi unalipa.Jiji la paris ni alama tosha kukuonyesha matunda ya ustaarabu wa kimagharibi na nguvu ya utajiri wa nchi ya ufaransa.