Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Anaoneskana namba 17 kwenye leaderboard lakini kundi lote wako pamoja
 
Kaachwa mbali kidogo halafu kinakuja kile kilima kikali,anaweza kupotezwa
 
Naona Olympic tulioahidiwa na Azam Tv baada ya kutupandishia Bei za vifurishi inaendelea live kupitia ZBC 2 na imeanza saa Tatu asubuhi hadi saa tisa jioni. Ila wakumbuke haya mahudhui tunalipia wasitulishe vitu ambavyo hatutaki. Kwa nini wanachsnganya maudhui ya kidini na maudhui ya michezo? Chanell za kidini zijitegemee ili Kila mtu afungue at his own risk. Sio unaahidi watu kuwa kipindi Fulani Cha michezo kitakuwa channel gani halafu unafungulia mahubiri ya dini yako
 
Poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…