Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Wema unaoendelea wametupumzisha kidogo๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Kuna mmoja anaitwa Guey naye yupo nyuma kidogo
Ndio naangalia hapa bro, nilikuwa barabarani nimewahi home nifuatilie kwa utulivu.

Cha msingi medali tu, hata moja inatosha wakati tunasubiria kesho wanawake.
 
Ikibaki kilomita 1 ndo utaona watu wanavochomoka kama mshale, utashangaa anayeongoza muda huu mwishoni anakuwa wa 10.
 
Weka picha officer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ