Wanasayansi nijuzeni hili kwa mwenye kujua

Wakuu hivi wale wadudu wanaowaka usiku mnaweza kujua kwa nini
Wanawaka wanawaKA kupulika kama mnara

Nijuzeni hawa wadudu huku ni wengi sana.....!

Je huwa inasababishwa na nini?

NIJUZENI..!

Ninawapenda sana hawa wadudu.
Miaka Mingi sijawaona..makaz yao yameharibiwa kwasababu ya Shughuli za Kibinadamu.

Ila kila kiumbe kina Sifa kubwa na ndio inakipa uwezo wa kuhimili mazingira na kusurvive.

unaweza ukajiuliza kwanini Nzi Usiku hatembei (labda haoni vizuri na Mbu mchana haonekani ila usiku anaonekana na kutembea.

Sasa Pengine huyu yuko na sifa ya kipekee. Mchana haonekani na Usiku Pia haoni vizuri. Isipokuwa kwa Mwanga anaozalisha yeye mwenyewe kwenye Mwili wake.

Kwahiyo ili aishi lazima azalishe energy ya mwanga. Ili aone. Ale na kuzalisha/kuzaa.
 
1.Wanawaka vile kwa sababu ya kutafuta mwenza, wa kiume wanatoa mwanga kama ishara na wakike wanarudisha kuonyesha wamepokea ishara

2. Pia wanawaka vile kwa ajili ya kujilinda na wanyama wanaotaka kuwala kwa kuonyesha kuwa wanaradha mbaya kwa kuwa kwenye kuwaka huko hutoa chemical inaitwa lucibufargins ambayo ina radha mbaya
 
Siwezi kuweka matahira kichwani kwani nina mambo mengi makubwa ya kuwaza na kuwazua! Kama issue ni hiyo wala hata nimegundua tu ntajikuta katika kundi la washenzi so i enjoy more playing low than unnecessary arguments..โ˜บ๏ธ

Binafsi sijaona kama uko/ulikuwa kwenye kundi la washenzi.

Una Heshimika. Na Wala Heshima hukuitafuta .ni watu wamekuona una stahili kuheshimika...

Maua umepewa hata kabla haujafa.
yapokee.

Ila naelewa Hoja yako. Pengine ulilike post za washamba wawili watatu au kusupport hoja zao. Wakatengeneza intimacy na wakahisi Umevutiwa nao. Kumbe ni jinsi ww unavyoishi na watu. Huna baya.

Naomba wapuuze.
Be normal. Be You.
The Seran we Know.
Uwe na usiku mwema.
 
Binafsi sijaona kama uko/ulikuwa kwenye kundi la washenzi.

Una Heshimika. Na Wala Heshima hukuitafuta .ni watu wamekuona una stahili kuheshimika...

Maua umepewa hata kabla haujafa.
Nakuelewa sana tu! Ni vile wanaojidharau wanahisi kudharauliwa wanakosa pa kutupa lawama wanatafuta mtu wamuangushie trauma zao!
yapokee.

Ila naelewa Hoja yako. Pengine ulilike post za washamba wawili watatu au kusupport hoja zao. Wakatengeneza intimacy na wakahisi Umevutiwa nao. Kumbe ni jinsi ww unavyoishi na watu. Huna baya.
Yani nivutiwe na mtu fake๐Ÿ˜
Sijaishiwa kiivyo aisee! Bado sana wakunivutia sijampata mpaka anitikise vile๐Ÿคฃ

Afya ya akili inaendelea kushika hatamu!๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
Naomba wapuuze.
Be normal. Be You.
The Seran we Know.
Uwe na usiku mwema.
Nishapuuza na life goes on..
Same to you bro!
 
Wale wadudu huwa wanafikiri kuwa usiku siwaoni kumbe nawaangalia tu!

Wadudu wajanja wale.
Wanavizia ndege ww na secretary yako mkiwa mmelala ndio wao wanaamka โ˜บโ˜บโ˜บ ..wanajiwashia Taa na kufanya mitikasi yao. Wakimaliza wanazima wanajificha kabla hamjaamka๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Ndiyo maana bundi anawala sana. Nyambafu zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ