dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Hzo facts mkuu Nenda ka googleHii mbona imekaa kinadharia weka rejea mkuu
Hzo facts mkuu Nenda ka googleHii mbona imekaa kinadharia weka rejea mkuu
Hiyo ni kazi nyingine... Unapaswa kuwa unasema na source ili mtu ajue it's a fact and not made.Hzo facts mkuu Nenda ka google
Mawifi imekaa vibaya kidogo 🤣Pole sana komaa nacho mpaka kieleweke mawifi tupo kwa sana tu💃🏽
Unataka mashemeji bwana mjusi, sio?Mawifi imekaa vibaya kidogo 🤣
kama huna muda wa kufutailia hyo sio kazi yangu mkuu, siwezi kuwa natafuta reference ya kila ninachojua kama sio mada kuu ya uzi,Hiyo ni kazi nyingine... Unapaswa kuwa unasema na source ili mtu ajue it's fact and not made.
Hapana mamichepuko👀Unataka mashemeji bwana mjusi, sio?
Una pesa ya kuhonga au ndio ganda la ndizi tuHapana mamichepuko👀
Basi kama huna reference ama uhakika kwanini useme sasa?kama huna muda wa kufutailia hyo sio kazi yangu mkuu, siwezi kuwa natafuta reference ya kila ninachojua kama sio mada kuu ya uzi,
Ohoo! Dsm nzima wananijua naitwa mwamba stiriwaya mkali wa kusugua sufuria💉Una pesa ya kuhonga au ndio ganda la ndizi tu
nenda kasome ujifunze kama utakuta kuna makosa njoo na elimu uliyopata, acha mambo ya kujifanya mjuaji, kama umeona scientific reply ni ya uwongo unachopaswa ni fact check, teknolojia imekusaidia kuna sehemu nyingi za ku fact check ukikuta ni uongo njoo useme la ukweli ukikuta ukweli ishi nayo, kama huwezi sina cha kukusaidiaBasi kama huna refeerence ama uhakika kwanini useme sasa?
Sasa kwanini unakuja bila hizo rejea...? Hapo ni kubwa bwaja tu.. Hakuna mwana sayansi duniani ambae huja na hoja kama anasimulia hadithinenda kasome ujifunze kama utakuta kuna makosa njoo na elimu uliyopata, acha mambo ya kujifanya mjuaji, kama umeona scientific reply ni ya uwongo unachopaswa ni fact check, teknolojia imekusaidia kuna sehemu nyingi za ku fact check ukikuta ni uongo njoo useme la ukweli ukikuta ukweli ishi nayo, kama huwezi sina cha kukusaidia
Najua lengo lako huwa ni ubishi, any way amini usiamini i dont careSasa kwanini unakuja bila hizo rejea...? Hapo ni kubwa bwaja tu.. Hakuna mwana sayansi duniani ambae huja na hoja kama anasimukia hadithi
I never wanted you to care I was just laying pure factsNajua lengo lako huwa ni ubishi, any way amini usiamini i dont care
Mamba 24 u bera watch ur back😁Ohoo! Dsm nzima wananijua naitwa mwamba stiriwaya mkali wa kusugua sufuria💉
Unaijua pombe inayoitwa pingu?Take care ov urself, do not get into pingu trouble 😁
Nenda kafanye fact check mkuu, sihatiji kuweka refernce kwenye kila basic knowledge kama hujui sasa unajua, siandiki academic reserach mpaka nihitaji kuweka reference, kwenye kila kitu, sija qoute maneno ya mtuI never wanted you to care I was just laying pure facts
Hee kumbe pingu ni kimiminika? Nikajua zile za kutiwa ndani🙆🏽♀️Unaijua pombe inayoitwa pingu?
Hawa ni wanasayansi? Japo min -me ni mkemia
Hiyo pingu ukiinywa lazima ufunge suruali kwa chini (kwenye miguu)...Hee kumbe pingu ni kimiminika? Nikajua zile za kutiwa ndani🙆🏽♀️